GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

Mungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
 
Ndivyo mambo ya imani yalivyo ,imani zote ni utapeli tu, sasa utaamua uchague utapeli wa aina ipi uubebe na utapeli wa aina gani uuponde
 
Mungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
Mbona Askofu Zakaria Kakobe hatujawahi kumsikia na kashfa kama hizi na huduma yake ina zaidi ya miaka 40 sasa
 
Kila nikikumbuka alivyompa Godluck Gosbert ile gari ya bure kisha Goodluck akapotea kwenye ramani ya muziki wa injili, simkubali kabisa huyu TAPELI
Imani za kishamba hizo, mkuu una mana ile gari ndo chanzo cha yeye kupotea mbona fulani hajapotea
 

Attachments

  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 14
  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 12
Huyo jamaa Kuna anga tulikutana. Sio mtu mzuri kabisa. Nawaambieni wabongo huyo jamaa ni hatari kabisa.
 
Mungu amsaidie mtumishi Geo. Hii ni kashfa ya pili, kuna ile ya secretary wake ilienda mahakamani hadi yule dada akatalikiwa. Sasa sijui ni wanamsingizia mtumishi ili wapate nini..anyways, neno litasimama
Tabia ya nabii huyo ni ya ovyo, anasema yesu angekuja Leo yeye angemfuata uwanja wandege na gari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…