George Mpole aliwahi kukataa ofa za Azam, Simba na Yanga, uzeeni atalaumiwa sana na watoto wake

George Mpole aliwahi kukataa ofa za Azam, Simba na Yanga, uzeeni atalaumiwa sana na watoto wake

Hawa utopolo wamechangsnyikiwa nini? Maana naona kila uzi wana hasira kali...hahahaaa nyie Tabora sio wakispost spot.. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10

Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi

Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako radhi wajae benchi lakini akaunti isome

Starehe Wanazokula na maendeleo waliyonayo wachezaji wa jizi timu tatu ni ya juu sana.

Awesu Awesu anakwambia hagusi mshahara wake akitaka hela anapaki gari nyumbani anakatiza mtaa wa Congo au Msimbazi, nashabiki wanampa tu hela, akienda hotel halipi. Wengine hutafutiwa hadi pisi kali

Djuma Shaban, Kagere, Tadeo Lwanga walilia kama watoto siku wakipotemwa Simba na Yanga

George Mpole akiwa Geita eti akiibuka mfungaji bora, magoli yenyewe yalikuwa ya kimiujiza miujiza tu,mara mpira umemgonga ugoko umeingia nyavuni.

Msimu huu ana goli moja tu kama mwenzake AzizKi na Dube, ila wenzake wanapiga hela ye anaambulia kyla sangara tu, Pamba uchumi wao unajulikana

Kupanga ni kuchagua sikupangii pa kucheza

Kule Leceister City pia yupo mwezake aliapa kufia Leicester licha ya kufuatwa na vilabu vikubwa

Mpole tayali kwishney kabakiza ubishi Tu uwanjani na kutafuta magoli ya huruma ya refa huku mijimama Ya Geita inamsubiri kama Mobeto alivyofunga ofisi pale jangwani
 
Back
Top Bottom