Huyu ni wa kunyongwa hadi afe.Halafu kuna mtu anasema huyu mama ni mtu, huyu panapomfaa ni jela tu
Kuachwa hai hata kama ni kifungoni ni sawa na kumpa zawadi kubwa mno.Halafu kuna mtu anasema huyu mama ni mtu, huyu panapomfaa ni jela tu
Likitoka Ganda kwenye Risasi chuma kinachobaki kuingia ni kidogo sana lakini matusi/Athari kinayofanya ni makubwa, na ni silaha ndogo tu za kivita zile 56.. Nilishangaa zaida kumuona Askari amebeba na LMG ule ni ukatili usiojadilika.
Damu ni mbaya, wanaweza kutafutwa na kumalizwa kimya, kimya, kuuwa ushahidi.Hivi hawa wanaoenda kwenye hiyo tume matarajio yao ni nini haswa?? Au wanahisi watalipwa 😅
Dah inauma sana"Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es Salaam aliyetoa maelezo mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025.
George, ambaye sasa analazimika kuishi bila mguu wake wa kulia, ameiambia Tume jana, Januari 19, 2026, kuwa alipigwa risasi na askari polisi mchana wa tarehe 29 Oktoba akiwa katika shughuli zake za kutafuta vipuri (spare parts) maeneo ya Vingunguti.
Siku ya tukio, George alikuwa ametoka ofisini kwake Banana kuelekea Tabata kununua booster ya gari. Wakati akirudi kwa kutumia pikipiki yake kupitia njia ya Vingunguti, alikutana na kundi la watu wapatao 50 hadi 70 wakikimbizana na gari la polisi (Defender). Amesema alipatwa na hofu akageuza pikipiki ili aondoke. Wakati anageuza, ndipo akapigwa risasi ya paja kutokea nyuma iliyokata mishipa ya damu.
Aise Mungu wangu 😭Kasi ya ufyatuaji risasi ya LMG (Light Machine Gun) inatofautiana lakini kwa kawaida inafyatua risasi 6 hadi 25 kwa sekunde, au raundi 360 hadi 1500+ kwa dakika (RPM).
Kwanini utumie silaha kama hizi kama hujakusudia kuua maelfu kwa maelfu ya wananchi?
ila Igp angekuwa muungwana angejiudhulu kwa haya yaliyotokea"Nilikataa kukatwa mguu, lakini madaktari waliniambia nimechelewa kupata matibabu." Huo ni ushuhuda wa kusikitisha wa George Chipeta (24), fundi wa umeme wa magari mkazi wa Banana, mkoani Dar es Salaam aliyetoa maelezo mbele ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025.
George, ambaye sasa analazimika kuishi bila mguu wake wa kulia, ameiambia Tume jana, Januari 19, 2026, kuwa alipigwa risasi na askari polisi mchana wa tarehe 29 Oktoba akiwa katika shughuli zake za kutafuta vipuri (spare parts) maeneo ya Vingunguti.
Siku ya tukio, George alikuwa ametoka ofisini kwake Banana kuelekea Tabata kununua booster ya gari. Wakati akirudi kwa kutumia pikipiki yake kupitia njia ya Vingunguti, alikutana na kundi la watu wapatao 50 hadi 70 wakikimbizana na gari la polisi (Defender). Amesema alipatwa na hofu akageuza pikipiki ili aondoke. Wakati anageuza, ndipo akapigwa risasi ya paja kutokea nyuma iliyokata mishipa ya damu.
Bila shaka hz ndo zilibonda vichwa vya waliofarik,nilishindwa kuelewa ule ulengaji wa kichwa tu,Kasi ya ufyatuaji risasi ya LMG (Light Machine Gun) inatofautiana lakini kwa kawaida inafyatua risasi 6 hadi 25 kwa sekunde, au raundi 360 hadi 1500+ kwa dakika (RPM).
Kwanini utumie silaha kama hizi kama hujakusudia kuua maelfu kwa maelfu ya wananchi?
Kwamba risas 6 kwa sekunde sio mchezoKasi ya ufyatuaji risasi ya LMG (Light Machine Gun) inatofautiana lakini kwa kawaida inafyatua risasi 6 hadi 25 kwa sekunde, au raundi 360 hadi 1500+ kwa dakika (RPM).
Kwanini utumie silaha kama hizi kama hujakusudia kuua maelfu kwa maelfu ya wananchi?
Yep ukiiweka kwenye mfumo wa automatic. Sijui walifikiria nini?Kwamba risas 6 kwa sekunde sio mchezo