Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Atafika lakini atakuwa amechoka vibaya
Atafika lakini atakuwa amechoka vibaya
Huwezi kupinga namna hii...........Inauma mpaka mwili unanisisimka
Huyo kibibi maluweluwe yaongezeke tena kwake
Nchi ingekuwa majivu kivipi? Sema mali za mafisadi ndio zingekuwa majivu.Vijana wengine ni kama Matahira, nchi kwenye tension, askari wanawadhibiti wahuni wanaotaka kuichoma moto nchi wewe unakatiza mitaani then unakuja kulia lia kijinga.
Anayekutwa kwenye battle field ni adui . Unaua then baadaye itajulikana.
Bila polisi kutumia nguvu kubwa ile October 29 nchi ingekuwa majivu sasa hivi na wajinga kama nyie ndio mngefurahi