George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

Masikini yarabi weee. Mzungu na Myahudi, wapi na wapi? Kama hujui kitu, kwa nini kukiandika?

Mzungu - Christian, Myahudi- Judaism, hizi dini hazipendani kabisa. Soma zaidi uwe na ufahamu.

Mimi sijui kitu, haya wewe niambie America ana udugu na kiumbe gani hapa duniani zaidi ya yahudi?
 
Ndugu zangu au ndugu yangu siyo Mimi. Unaanza kubadilisha maneo, kumbe unajua kila kitu, ila hutaki kuushughulisha ubongo wako. Sasa tuendelee na mjadala wa kijana kunyongwa.

Mimi sijui kitu, haya wewe niambie America ana udugu na kiumbe gani hapa duniani zaidi ya yahudi?
 
Motive behind ni kuonyesha ulimwengu mtu mweusi alivyokuwa treated and to show them pigs how wicked their ancestors were.
And to scare them with the fact that we still here living and adapting to the world they created despite the fact they hated us and they did/doing everything to eliminate us.
We'll persist and their race is the one that will perish instead.
 
Masikini yarabi weee. Mzungu na Myahudi, wapi na wapi? Kama hujui kitu, kwa nini kukiandika?

Mzungu - Christian, Myahudi- Judaism, hizi dini hazipendani kabisa. Soma zaidi uwe na ufahamu.

Unaweza kunifafanulia kati ya hizo dini ya Yesu ni ipi kati ya hizo mbili?
 
Motive behind ni kuonyesha ulimwengu mtu mweusi alivyokuwa treated and to show them pigs how wicked their ancestors were.

So ni kutafuta sympathy kutoka kwao then?

And to scare them with the fact that we still here living and adapting to the world they created despite the fact they hated us and they did/doing everything to eliminate us.

I see.

We'll persist and their race is the one that will perish instead.

Kwa kutengeneza hizo movies?

Sounds like a myth to me.

Kwa nini tusipersist by doing positive things to ourselves badala ya kuishia kulaumu tuu.
 
wezi wa ccm wanatakiwa kupewa adhabu kama hii
 
Not sympathy!!

Na hakuna anaelaumu, kulaumu kitu kilopita ili nini. Au ww unaona kutengeneza hizo movies ni kulaumu au kuomba sympathy.
Hizo movies zina faida sana kama ww huoni unaona ni lawama na sympathy una tatizo.

And about the disappearance of their race that is a fact not myth. Chotara wa mweupe na black wakizaa anazaliwa mtoto darker, mweusi na mweupe wakizaa u know they offspring, That is perishing of a race.

And those blacks that aren't doing positive most of them is because of the system that's oppresing em mbona tupo kibao tu we trying to do some positive stuffs, au na ww ushatekwa na mainstream media zao kwamba nigas are trouble.

We blackmen are real hue man bro, we have more melanin kushinda race yoyote, nenda kajifunze vizuri, hao walizaliana na neanderthals walivyo exodus africa. Ndo maana hata utu wao una dosari, most wicked men, bisexual, vulnerable men are whites.
 
Hii picha niliitazama miaka kama mitatu iliyopita. Nilitokwa machozi. Hadithi ni ya kweli kabisa, lakini nilipo na shaka ni kama hii ni picha halisi au ni igizo la kurejea tukio halisi.

Nakumbuka miaka ya 2000 katika Makumbusho ya Watu Weusi Chicago, Marekani tulionyeshwa picha halisi za watu weusi walivyokuwa wakining'inizwa mitini kama matunda wakiwa wamefungwa kamba miguuni mikononi na shingoni.

Aliyetupeleka katika hicho chumba chenye picha halisi alikuwa Mmarekani mweusi. Mzungu mmoja (mwenyeji wetu) alipobaini, alikuja mbio kututoa mle ndani kwa sababu alijua kile chumba kimesheheni picha za ushenzi wa wazungu dhidi ya watu weusi. Inaudhi sana.

Ukichukua haya, ukachanganya na haya ya karibu ya "I can't breath", wallah unaona wazungu wengi ni watu wasiowapenda watu weusi.
 
Inauma sana, huwa nawachukulia watoto kama malaika. Nashangaa kuona wakimtoa uhai bila huruma. Inahitaji kupiga moyo konde kuangalia!
 
Blacks we need to unite and stand against racism, let them know. Wakija huku tunawachekea chekea eti wanatoa misaada wanahuruma kweli hawa?
 
hii picha nimeshindwa kuimaliza. nimeishia tu wakati anavalishwa kofia. maana nimehisi inaweza kuniharibia siku yangu na kunifanya niiote usku mzima
 
Unyama wa mzungu nipale anapokuwa kafiri ila akishakuwa muislam utampenda kwasababu imani yakweli anakuwa nayo
 
Wazungu wana mapunpufu,angekuwa shoga wasingemnyonga.Ipi kufuru,jinai au ushoga?
 
Back
Top Bottom