George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

Masikini yarabi weee. Mzungu na Myahudi, wapi na wapi? Kama hujui kitu, kwa nini kukiandika?

Mzungu - Christian, Myahudi- Judaism, hizi dini hazipendani kabisa. Soma zaidi uwe na ufahamu.

Wakikusikia Wakristo
Unalitoa taifa lao Teule
 
Kuna watu wana uchungu na Wamarekani weupe kuliko wao wenyewe...te te te...
Ukianza kujishusha mwenyewe unadhani nani ana muda wa kukukweza...

Wazungu tupa kule....
 
Kuna movie moja nimetoka iangalia ya jamaa black aliyekuwa intelligent lakini kazi alokuwa akifanya hakuwa anapewa credit...credit zote zilikuwa zinaenda kwa wazungu kwenye hiyo team ya madaktari na wali win ma world award....yeye alikuwa lab technician...lakini mambo mengi alivumbua yeye...alikuwa anafanya kazi Johns Hopkins University Hosp. Aligundua possibility ya kufanya operation ya moyo kwa watoto na mpaka leo mchango wake unakumbukwa kwenye medicine (if am right)


Ukiiangalia unaweza kulia...

Afu utashangaa wakisema miafrika haina akili...mtu anakubali tena anachekelea ...'ndio hatuna akili'

Based on true story
 
Last edited by a moderator:
Hizi movies za aina hii zimeshamiri miaka ya hivi karibuni.

Kuna mwandishi mmoja mweusi alihoji do black people have something else positive to turn into movies badala ya hizi stories?


Nyani Ngabu, Kiranga

The grievance industry is a very lucrative business. Case in point, what else would Al 'Slim Shady' Sharpton be doing if it weren't for it?
 
wekeni na picha za machief wa kiafrika wakiuwa na kuuza waafrika wenzao pia chief akifa kuzikwa na mabinti walio hai

Afrika ni bara ambalo watu wake tumepata shida nyingi za kuteswa na wazungu,waarabu na ara wahindi na ata kuteswa na machief.

Mungu atatusaidia tu
 
Hii video ina unyama mkubwa sana waliomtendea mtoto huyu unyama huu lazima waombe msamaha dunia hata kama ni vitukuu vyao waombe kwa niaba ya mababu zao walio tenda unyama huu!
 
wekeni na picha za machief wa kiafrika wakiuwa na kuuza waafrika wenzao pia chief akifa kuzikwa na mabinti walio hai

Story za kusadikika hizo hakuna ushahidi hata sehem moja! Kuna any kaburi alizikwa chifu wakakutwa wapo na wengine?
 
yesu,alisema usihukumu husije ukahukumiwa maana kipimo kile unachopimia ndicho utakachopimiwa.hao walio mnyonga huyo tena kisheria ni mtoto hukumu ya mungu itakua juu ya vichwa vyao.
 
inasikitisha lakini mataifa yote ya watu weupe hawatupendi sisi weusi. huo ndio ukweli the only soln ni kujitahidi tujitegemee.
 
Habari zenu wanajamvi.
Marekani imekuwa ikipiga kelele kuhusu suala la haki za binadamu lakini binafsi naamini yenyewe imekuwa ikivunja haki hizo pengine kuliko nchi yoyote ile duniani kwa siku zote.
Hali hii akitendewa mmoja wa hao wanaomtendea huyo dogo akajisikiaje?
Angalia
www.youtube.com/watch?v=HIC-qBLDWUg


George Junius Stinney, Jr. (October 21, 1929 – June 16, 1944) was, at age 14, the youngest person executed in the United States in the 20th century.[SUP][/SUP]

Stinney, an African-American youth from South Carolina, was convicted of the first-degree murder of two pre-teen white girls: 11-year-old Betty June Binnicker, and 8-year-old Mary Emma Thames. However, no physical evidence existed in the case, and the sole evidence against Stinney was the circumstantial fact the girls had spoken with Stinney and his sister shortly before their murder and the testimony of three police officers, presented at a trial which lasted barely two hours,[SUP][/SUP] that Stinney had confessed to the murders. He was executed by electric chair.

Since Stinney's conviction and execution, the question of his guilt, the validity of his confession, and the judicial process leading to his execution have been criticized as "suspicious at best and a miscarriage of justice at worst."[SUP]
[/SUP]Stinney was arrested on suspicion of murdering two girls, Betty June Binnicker, age 11, and Mary Emma Thames, age 8, in Alcolu, Clarendon County, South Carolina, on March 23, 1944.[SUP][/SUP] Alcolu was a small, working class, mill town, where whites and blacks were separated by railroad tracks. The girls had disappeared while out riding their bicycles looking for flowers. As they passed the Stinney property, they asked young George Stinney and his sister, Katherine, if they knew where to find "maypops", a local name for passionflowers. When the girls did not return, search parties were organized, with hundreds of volunteers. The bodies of the girls were found the next morning in a ditch filled with muddy water. Both had suffered severe head wounds.[SUP][/SUP]
 
JE WAJUA?

George Junius Stinney, Jr. Ndiye kijana mdogo Mwenye umri wa miaka 14, ndiye aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme mwaka 1944 baada ya wasichana wawili wa kizungu , miaka 11- Betty June Binnicker na Miaka 8- Mery Emma Thames kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtu wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuwa ni huyu kijana mwenye asili ya afrika - George(14).

Kesi hii ilikuwa batili maana mashahidi wa kesi hii walikuwa polisi waliosema George amekiri shitaka(confess) ila hapakuwepo na maandishi(records)yoyote ya kuonyesha kukiri kwake.

Polisi wawili na madaktari walioenda eneo la tukio na madaktari kuifanyia miili postmortem. Polisi na madaktari hawa walikuwa wazungu.

Kesi hii ilichukua siku moja , jopo la majaji lilikuwa ni wazungu pekee kwasababu kipindi hicho BLACKS hawakuruhusiwa kupiga kura(right to vote), Goerge alibaki pekee yake bila shahidi kwasababu alikuwa mweusi(black).

Kesi ilichukuwa masaa mawili na kumhukumu George hukumu ya kifo kwa kukaa kiti cha umeme.

Wakati anawekwa kwenye kiti cha umeme ilikuwa ni taabu kidogo kwani George alikuwa na urefu wa sm 155 na uzito usiopungua pounds 90 (40kg) kutokana na umbile lake dogo code ya umeme ilikuwa taabu kutoa umeme.

Hivyo, George akawekewa mfano wa sufuria kichwani na akavikwa mask ya umeme kisha apigwa na shot ya umeme yenye nguvu ya 2400V kutokana na udogo wa kichwa chake mask ilifumuka na kuonesha fuvu lake likiwa wazi, midomo akitokwa na mate na machozi machoni.

Wakapiga shot nyingine George akawa amefariki....baaba ya kufariki mikanda aliyokuwa amefungwa mikononi. Mkono mmoja wa kushoto ulikata mkanda kuashiria alikufa kifo cha kinyama....

RIP George Junius Stinney, Jr (14).
 

Attachments

  • 1451830413912.jpg
    1451830413912.jpg
    49.3 KB · Views: 395
Dah.... Ni hatari sana hii imenisikitisha sana . Imeharibu siku yangu sana leo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom