George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

Leo nimepata fursa ya kuisoma story ya dada hyu aliyejulikana kwa jina la Saartjie Baartman "sarah" kutoka jamii ya khoi khoi imezid kunifungua kuhusu hawa whites.
 

Attachments

  • 1452099058636.jpg
    1452099058636.jpg
    23.8 KB · Views: 70
Nimeshindwa kuiangalia jamani mbona mtoto mdogo sana jamani kwa kunyongwa?May his soul rest in peace

Mkuu ! Siku ya kwanza naiona nilishindwa hadi kufanya kazi kwa nusu saa...

Kama unamtoto utaelewa kwanini inauma hivi...

R I P George stinney Jr
 
Not being racist but back in the days a white Society used to be really sick.
 
Last edited by a moderator:
Aiseee asante kwa kutupa kahistoria kake! Clip hiyo niliipata na iliniuma ila ckujua history yke! So pain!
 
View attachment 315058View attachment 315058View attachment 315059 Alituhumiwa akahukumiwa kunyongwa kisha akanyongwa kwenye kiti cha umeme kwa kosa la kusingiziwa, japo amekufa ni vema jina lake likasafishwa sasa..... Na wale wanaoshobokea wazungu na kuwaona ni raia bora wa daraja la kwanza wajifunze hapa
Afu utakuta eti jitu linampa mtoto wake jina la kizungu!aargghh!mi inanikera!kuendekeza utumwa tu,kwenu na kabila lako hamna majina ya kuwapa watoto wenu!
 
Sikuwahi kusikia ila nimesoma maelezo hayo hadi roho inaniuma jamani
Nimeangalia video yake tena nolikuwa ndani ya bus nasafiri mwanzo hadi mwisho nimelia hawa jamaa wanaroho mbaya sana, nilikuwa siwapendi na sasa siwapendi zaidi
 
Mkuu ! Siku ya kwanza naiona nilishindwa hadi kufanya kazi kwa nusu saa...

Kama unamtoto utaelewa kwanini inauma hivi...

R I P George stinney Jr
Mkuu nimeadhirika jana ndani ya bus nimemwaga machozi kama nipo msibani
 
Back
Top Bottom