Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii video yake niliitazama kwa mara ya kwanza na ya mwisho mwaka 2018 na sikutaka na sitaiangalia tena, iliniliza hii video na nilikuwa napata tabu sana usiku, hakika wazungu hawawapendi kabisa watu weusi na wanatamani wawamalize ila mipango ya Mungu tu.Naamini yupo mahali salama huko juu
Kweli mkuu inauma sanaHii video yake niliitazama kwa mara ya kwanza na ya mwisho mwaka 2018 na sikutaka na sitaiangalia tena, iliniliza hii video na nilikuwa napata tabu sana usiku, hakika wazungu hawawapendi kabisa watu weusi na wanatamani wawamalize ila mipango ya Mungu tu.
Who was the American President during that period?Ubaguzi wa rangi huo
Hatari sana
Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa.
Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina akituhumiwa kuwaua watoto wawili wasichana wa kizungu, Betty June Binnicker (11) na Marry Emma Thames (8). Mtoto huyu alitiwa hatiani kwa ushahidi wa kimazingira tu na hakukuwa na uthibitisho wa uhakika kwamba yeye ndio alihusika na mauaji hayo. Angekuwa mtoto wa kizungu pengine angepewa adhabu tofauti kabisa na aliyopewa mtoto huyo mweusi.
Unaweza kutazama mwenyewe hapo chini.
----