Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

Suala hapa ni anacho hoji hando ni kweli au si kweli?
Gerald Hando...paid journalist...wanarudia zoezi lile lile yeye na Kipanya walivyofanya kazi maalum Kwa Dr Idrisa..haadi akatolewa...wakaingia watu wa Ngeleha zikapigwa bilioni 500
 
Huyo baba alikua anaheshimika hapa JF, ila sasa sidhani maana ndo anaonesha jinsi alivyo. Khaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatawaliwa na mahaba zaidi ya uhalisia, yupo huku kuwalinda awapendao hata kwasababu za kipuuzi, bahati mbaya anadhani kila mtu ni mjinga kama yeye, anachofanya ni kubadilisha vijineno tu kwenye sababu zake lakini kimsingi anatetea ujinga tu.
 
January Makamba anatumika na mabeberu wachache kuhujumu uchumi.si ajabu ukaambiwa Tanesco ianze kununua tena umeme IPTL.
 
Jibu hoja!
Nimeuliza tu kama Gerald Hando alikuwa hajalewa, maana ni Cha pombe balaa, chakari muda wote mpaka maudenda yanamtitirika na wadudu wanazengea kuingia mdomoni
 
Kiukweli shida ha umeme kipindi kile ilipungua
Sio kama Sasa hadj unaitwa mgao na mgao Sasa umepitiliza Imekuwa janga
Tofauti zetu za kisiasa tusizifanye ndio maisha yetu, tutawadekeza hawa watu wajione wao hawana MAKOSA
TUNA TATIZO KUBWA LA UMEME
nakumbuka kipindi flan waliulizwa mbona kipindi cha mzee hakukuwa na TATIZO la umeme?
Wao walijitetea kuwa kulikuwa na matumizi ya bila ukarabati Miundo mbinu
So hii shida itaisha soon wakisha. Maliza hayo matengenezo yao
Na walianza kwa kutangaza muda WA umeme kukatika bahadhi ya sehemu husika,
Ikawa Tofauti wakashindwa hata kutangaza Tena hiyo migao Yao umeme ukawa unakatwa ovyo ovyo hata msijue unarudishwa lini na muda gani
Tuwe wakweli tusifanye propoganda kisa chuki
 
Alikuwa hajalewa pombe? Maana huwa analewa mpaka analala kwenye meza za baa, wakati mwingine anabebwa mzegamzega kupelekwa nyumbani hajitambui
Dada yake pia ni mlevi ile mbaya. Wana kunywa sana pombe ingawa Baba yao ni mtu wa dini sana.
 
Yule mwingine angevizia nafasi ya kumfunga kamba za viatu Makamba.
 
Yule mwingine angevizia nafasi ya kumfunga kamba za viatu Makamba.
 
Anatawaliwa na mahaba zaidi ya uhalisia, yupo huku kuwalinda awapendao hata kwasababu za kipuuzi, bahati mbaya anadhani kila mtu ni mjinga kama yeye, anachofanya ni kubadilisha vijineno tu kwenye sababu zake lakini kimsingi anatetea ujinga tu.
Nahisi naye ni m1 wa wanufaika na hii dhahama, khaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila za ndani ni kuwa viwanda vingi viliumizwa kwa wakati huo maana viwanda hutumia umeme mwingi, vikikatiwa sio rahisi kupata kelele kama wananchi wakikatiwa
Ndioooooo
 
Ni kweli kabisa kuwa kipindi Kalemani ni waziri huo umeme haukuwa shida? Haukuwahi kukatika?
🤣😂 Mkuu. Habari za masiku, umeadimika sana. Vipi hapo ulipo Box zinabebeka kweli kwa barafu linalodondoka. Mkataa kwao Mtumwa.
 
Kuna watu wanampa hela aropoke ropoke...anafikiri watu wote wajinga
Hapana acheni atoe maoni ..lkn tumkumbushe kuwa hata wkt wa kalemani umeme ulikatika pia...awamu iliyopita ilikuwa marufuku kuandika madhaifu ya serikali...ndo maana walisiojua kitu wanaiona kama ilifanikiwa kumbe lah

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…