Gerald Hando hata Wewe?

kwa suala la bandari kila kitu kipo sahihi ni uzandiki wa baadhi ya watu wenye mawazo finyu kama yako ndio mna wasiwasi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Njaa mbaya Mkuu, na ndio imemfanya ajilipue na kusimama upenade wa "yule mwovu"
Ole wenu wazinzi, wezi, madhulumati,na wanyanganyi kwani kiama chenu ni lile ziwa liwakolo moto.
 
Mimi binafsi naamini kama kweli aliamua kupambana why aje atetereke kisa bills??


Huu ndo umaskini wa kimawazo. Kuna mwanaharakati uko nje uarabuni alikua jina lake ni kimambotsky. Huyu ni mwanahabari ambaye alipambania haki za wanawake wakiarabu kua wapate haki ya elimu.

Huyu alipugwa mpaka risasi ya jicho, thanks to God aikupita kwenye ubongo ilimparaza tuu pembeni.

Some people give blood, wewe hata jasho alitoki unaogopa kulala njaa,, ndoo maana wabongo wengi atuendelei maana tuko CHEAP kila alie na pesa akiamua kukuburuza unaburuzika

Tutakataa vitu vingi ila atutokubali kuacha kuona
 
Mwisho wake!
 
kwa suala la bandari kila kitu kipo sahihi ni uzandiki wa baadhi ya watu wenye mawazo finyu kama yako ndio mna wasiwasi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Jibu hoja kwa hoja. Kama kuna chochote unachofahamu katika nilichozungumzia kiweke hapa.

Majibu yako ni too general kuonyesha hata wewe hujui unatetea nini au hujui napinga nini au inawezekana pia hujui vyote.
 
Njaa mbaya sana yani adui mkubwa wa maendeleo ni umaskini kuliko hata ujinga
 
Hama nchi
 
Uko sahihi sanaa.
 
Duuuh bas tumuache jamaa, atetee uhai wake.
 
Hii kitu uliyoandika hapa haina maana mbele ya pesa mkuu!! Wee muache tu Gerald ale maisha, hii nchi kwa mfumo uliopo ni vzr uitafune sana pindi ukipata gap!!!
 
Bila kuweka itikadi yangu mbele niseme tu nakereka mno watu kujiita wanyonge. Mleta uzi kama wewe ni mnyonge basi ni wewe labda na familia yako. Kujiita wanyonge ni sawa tu ushoga.... unyonge ni laana. Kujiita wanyonge ndo inafanya baadhi ya watu walioko kwenye system kutuona wapumbavu na kutukandamiza. Hata tukisema tuwakatae DP World bado kuna wanyonya damu ambao ni watanzania wenzetu wanatupiga hadharani pale bandarini. Mara kibao kwenye taarifa za TAKUKURU tumesikia watu wamekamatwa kwa kupiga mabilioni huko bandarini halafu tunaendelea kujiita wanyonge? Sasa hivi kuna Simba wako kwenye makazi ya watu huko Iringa ila kama taifa tumekaa tu kimya bila kuwashtua idara ya wanyamapori kufanya kazi yao kwasababu ya huu ufala wa kujiita wanyonge... tuache huu upumbavu wa kujiita wanyonge na tusimame kwenye haki. Kama ni DP World tukae nao mezani kijasiri na kukubaliana kwa makini kwa maslahi ya taifa na sio kutegemea Gerald Hando akutetee kisa wewe mnyonge.

Halafu wengi wetu sio kwamba tuna machungu sana au kuchukizwa na kina Zembwela... ni tunawaonea wivu. Tunatamani sisi ndo tungekuwa kwenye nafasi zao na kujipigia mihela. Kuanza kuwalaumu watu ambao elimu zao sio za juu na wamefika walipofika kwa jitihada binafsi pamoja na vipaji ni matumizi mabaya ya lawama. Isitoshe hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kufanya wanachofanya. Mtu kama Zembwela angajikatia tamaa kwa sasa hivi angekuwa mtaani haeleweki ila kaamua ku-fit kwenye system hadi sasa anajulikana kila upande na anajimegea keki ya taifa.
 
Hufuatilii hotuba za huyu ninayemmwagia sifa ?!!!

Pamoja na ukali wa hayati rais JPM hakuweza kuifanya mifumo ya TEHAMA iwiane vyema kati ya TPA na TPA....

Pamoja na uoni wa kiuchumi wa mh Rais .JK hakuweza kuifanya mifumo ya TEHAMA iwiane vyema kati ya TPA na TRA....

Hayati Rais BM ndiye aliyetuwekea TICTS...mifumo haikuwiana....

Mh.Rais SSH amelilalamikia hilo mara kadhaa....

Ameamua kufikiri nje ya "box" kwa kutuletea wawekezaji wa DPW ambao wanakwenda kutupatia NUSU YA BAJETI YA NCHI kwa kila "fiscal year"....si neema hii ?!!!

Kwako si neema hii?!!!

SiempreSSH[emoji2956]
 
Wana habari wa Tanganyika asilimia kubwa sio wazalendo wametanguliza njaa
Tanganyika dola haipo....ni marehemu...iko kaburini....

Tuna waandishi wa habari wa Tanzania bara....

Usiukumbatie ujinga[emoji1787][emoji1787]
 
Njaa mbaya Mkuu, na ndio imemfanya ajilipue na kusimama upenade wa "yule mwovu"
Ole wenu wazinzi, wezi, madhulumati,na wanyanganyi kwani kiama chenu ni lile ziwa liwakolo moto.
Umechanganyikiwa?!!!

Unaquote mistari mitakatifu ili tu kuzifurahisha hisia zako ?!!!

Sisi tunaongelea UHALISIA wa maslahi mtambuka ,wewe unatuletea ngonjera?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Akili ya kisoda hii miongoni wa wanaohoji ni wakili Fatma Karume na Profesa Ibrahim Lipumba nao wanataka wapewe waisrael taifa Leo teule?
[emoji15][emoji15][emoji15]

Wewe nae unaakili za ajabu....

Waisrael ni zaidi ya DINI....usiwe mjinga...

#YetzerHatov[emoji120]
#ShavuaTov[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…