Aisee!Hando inamuwasha nini? Kwani Chadema si wana katiba yao? Sasa yeye Hando kinachomuwasha ni nini? Aseme labda kama anataka kukunwa
Pumbavu zake, mbona yeye hajastaafu utangazaji? Ni mwaka wa ngapi anatangaza?View attachment 2926853
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Mkapa = MboweView attachment 2926853

Chawa wa DP World.Pumbavu zake, mbona yeye hajastaafu utangazaji? Ni mwaka wa ngapi anatangaza?
Awe makini anaweza kutekwa na Machawa wa Mbowe 😂😂View attachment 2926853
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti...
Kwani Mbowe akitoka hawezi pata Ubunge?CCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?
Hivi unaamini Wapemba wanaoweza kuongozwa na Zitto?
Hujui kwamba ACT ni kimvuli cha CUF? Base ya ACT ni Zanzibar na lazima Chama kiwe chini ya Wazanzibar na ndicho kilichofanyika, huyo dada atakuwa kiongozi ceremonial tu kama Rais wa Ujerumani na Rais wa Israel, hapo wenye nguvu ni mwenyekiti na makamu wake Jusa.
Hayo ni maigizo ya kisiasa Zitto anarudishiwa Jimbo la Ujiji Kigoma.
Kumbe siasa ni mradi wa Mbowe 🤪🤪,Nyumbu mumesikia huku ? 😁😁😁Pumbavu zake, mbona yeye hajastaafu utangazaji? Ni mwaka wa ngapi anatangaza?
Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, January Makamba, Adam Malima na Mchengelwa wanakucheka tu.Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Kwani lazima awe mbunge?Kwani Mbowe akitoka hawezi pata Ubunge?
Ndio atoke Sasa kwani bila Mbowe hakuna Chadema?Kwani lazima awe mbunge?
Wananicheka kwanini? Kwa akili yako ndogo unaamini kuwa hao uliwataja watakuja kuwa ma Rais wa Tanzania?Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, January Makamba, Adam Malima na Mchengelwa wanakucheka tu.
Na uzuri ni mlevi mwenzetu wa bia, sasa hivi tunakula bia mpaka kwenye maandamano.Gerald hando, nampendekeza Anafaa kuwa mwenyekiti mpya wa chadema!, kwani ni mfurukutwa kindakindaki!
Malizia kwa kusema kwamba act inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani 2025CCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?