Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MALIZA KWANZA MSIBA MKUU Acha upumbavu akiachia ngazi utaiongoza wewe chadema?
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
NCHI INA WAJUNGA NA WAPUMBAVU WENGI KWA SASA MAMBO YA CHADEMA watayamaliza chademaCCM mna vichekesho Sana, sasa Zitto si anapewa ubunge Kigoma na wapemba wanachukuwa Chama chao?
Hivi unaamini Wapemba wanaoweza kuongozwa na Zitto?
Hujui kwamba ACT ni kimvuli cha CUF? Base ya ACT ni Zanzibar na lazima Chama kiwe chini ya Wazanzibar na ndicho kilichofanyika, huyo dada atakuwa kiongozi ceremonial tu kama Rais wa Ujerumani na Rais wa Israel, hapo wenye nguvu ni mwenyekiti na makamu wake Jusa.
Hayo ni maigizo ya kisiasa Zitto anarudishiwa Jimbo la Ujiji Kigoma.
Mtasubiri na kuhangaika sana na Chadema lkn kamwe hamtofanikiwa kuwagawa kwa mbinu zenu mfu.Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Zitto Kumpa ubunge ni TUSI KUBWA ccm kama inamheshimu Wampe UWAZIRI MKUUMalengo ya Wazanzibar NI kuchukuwa Dola ya Zanzibar hawana mpango na Tanganyika wala hakuna fund wataleta Tanganyika.
Zitto NI mwanasiasa opportunist tayari amehakikishiwa ubunge kwahiyo akili yake na nguvu zake NI Kigoma, hataki madaraka yatakayomlazimu kuzunguka nchi nazima wakati Chama chenyewe kipo Zanzibar na Kigoma tu.
Mimi sio pro Mbowe,ila Hando angeanza na CCM iliyokaa zaidi ya miaka zaidi ya 64 na still matundu ya choo tunajengewa na USA,Korea n.k. Note TANU +ASP=CCM.
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Yeye mbona anekaa redion muda wote huo tena akiwa muajiriwa, vijana wanamkutw, wanaanzisha venture zao Zina simama wanasepa. Yeye yupo tu....
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
actually,

CCM 1954-2024=70 years old!Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Atatoka siku CCM ikitoka madarakani amepewa kazi maalumu na chama mnaye mpaka tusikie milio yoooteNdio atoke Sasa kwani bila Mbowe hakuna Chadema?
Mbowe anawapiga kwenye G sportKumbe siasa ni mradi wa Mbowe 🤪🤪,Nyumbu mumesikia huku ? 😁😁😁
Kwa hiyo ndio imefikia hatu ya mbowe kulinganishwa na hawa wazee wenzake?Hivi kati ya mbowe ,pr lipumba na cheyo nani kakaa sana kwenye uwenyekiti?