johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona wewe hutoki kwenye Cheo cha CHAWA MKUU hadi Steve Nyerere anakuchamba?!Ndio atoke Sasa kwani bila Mbowe hakuna Chadema?
Acha hizo 😂😂😂🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe hutoki kwenye Cheo cha CHAWA MKUU hadi Steve Nyerere anakuchamba?!Ndio atoke Sasa kwani bila Mbowe hakuna Chadema?
Malengo ya Wazanzibar NI kuchukuwa Dola ya Zanzibar hawana mpango na Tanganyika wala hakuna fund wataleta Tanganyika.Malizia kwa kusema kwamba act inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani 2025
Chadema wanachotakiwa kufanya kwa sasa siyo kufikiria uchaguzi bali ni kudai katiba kwa nguvu hata 2025 ikifika badala ya kampeni yawe ni maandamano tu kutaka katiba na kutaka tume huru ya uchaguzi ndiyo uchaguzi ufanyike tofauti na hapo itabaki kuwa chadema ya mitandao na press
Tamaa zikiwaponza wakaingia kwenye uchaguzi wamekwisha
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ccm wamemlipa sh. ngapi kwenye hii project?
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?

Maalim Seif alinunua ACT Wazalendo kwa ajili ya Ukombozi wa ZanzibarMalizia kwa kusema kwamba act inaenda kuwa chama kikuu cha upinzani 2025
Chadema wanachotakiwa kufanya kwa sasa siyo kufikiria uchaguzi bali ni kudai katiba kwa nguvu hata 2025 ikifika badala ya kampeni yawe ni maandamano tu kutaka katiba na kutaka tume huru ya uchaguzi ndiyo uchaguzi ufanyike tofauti na hapo itabaki kuwa chadema ya mitandao na press
Tamaa zikiwaponza wakaingia kwenye uchaguzi wamekwisha
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bia, konyagi, hivi ni viburudisho tu, alimradi kazi ifanyike, watanzania wanahitaji demokrasia safi, "Huwezi kuwa mpenda haki na ukalichukia neno demokrasia ukiona una lichukia tu ujue haupo sahihi, demokrasia huanzia maungoni, na si neno la kutamka bila vitendo, kama afanyavyo Bw. Mbowe, anaitamka, lakini ndani mwake haipo""Na uzuri ni mlevi mwenzetu wa bia, sasa hivi tunakula bia mpaka kwenye maandamano.
Unapanua mapaja kote kote 😁😁Mbona wewe hutoki kwenye Cheo cha CHAWA MKUU hadi Steve Nyerere anakuchamba?!
Acha hizo 😂😂😂🔥
Ukweli mchungu huuMkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Bob Makani alirithi chama kwa Edwin Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI). Freeman Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe).
Hicho ni chama cha FAMILIA, mkitaka Mbowe atoke anzisheni chama chenu
Mhh!"Mbowe aachie ngazi amekaa sana Chadema"
Nimeitazama hiyo kauli nimeiona imekaa kidikteta, na sio hiyo kauli ya Hando pekee, wote wanaomtaka Mbowe aachie ngazi nao wamekaa kidikteta hurudia kauli hiyo hiyo wakijidai kutaka demokrasia ifuatwe, hii demokrasia yao ni ya ajabu sana.
Hawa viumbe wanajiona wao ndio wapo juu ya maamuzi ya wengine, hawajui demokrasia inasema wengi wape wachache wasikilizwe, sasa kama wengi wameamua kumpa Mbowe, hawa viumbe kwanini wanateseka?!
Halafu wanaposhangaza zaidi, wanamtaka Mbowe afuate mfano wa Zitto, ni kama vile wanataka kulazimisha Zitto aondoke na Mbowe, hawajui huyo Zitto wanaomuona ameondoka uongozini ACT, anaenda kuwa mshauri mkuu wa chama chake kulingana na Katiba yao, hawajui huyu ni sawa na ametoka kwa mlango wa mbele, lakini anarudi ndani kwa mlango wa nyuma, sijui huu ujinga ndio wanataka Mbowe nae aufuate?!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Chaggadema inafanya kazi zaidi ya kanda ya kaskazini?Na mafanikio pekee ya Zitto kwenye ACT ni kuachia madaraka.
Wewe chama kinafanya kazi Pemba, Tunduru, Kigoma na Magomeni kuna haja gani ya kukaa muda mrefu ?
Miaka 20 si habaUpi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya Mbowe ikiwa kama atagombea uenyekiti wa chama chao, wakiamua kumpa watampa, wakiona hafai watamnyima, wale ni watu wazima wenye akili zao na maamuzi yao, hizi kelele nyingine nje ya hao wenye maamuzi yao ni sawa na za walevi bar.Mhh!
Hivi kati ya mbowe ,pr lipumba na cheyo nani kakaa sana kwenye uwenyekiti?
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
😂😂😂 Wewe unampanulia muuwaji wa sekretari 😀😀🔥Unapanua mapaja kote kote 😁😁
Hando ni mtangazaji kwa hali hiyo habari zake zitaegemea upande mmoja na zitakuwa hasi kwa Chadema. Vipi na yeye bosi wake ameshikilia kiti kwa miaka mingapi? Aanze naye aondoke.
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
huyu ni nani na anafafanya nini? ana elimu gani? huwezi ku- argue technical issues na na std seven failure.
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Ndio atoke Sasa kwani bila Mbowe hakuna Chadema?
Akili kubwa sana hii, angeanzia kwa CCM itoke madarakani "imekaa sana zaidi ya miaka 60"
Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu.
Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia nafasi ya Uongozi kwenye chama chake Cha ACT Wazalendo.
Upi mtazamo wako kuhusu hoja hii ya Hando?
Ukioneshwa uchungu wenyewe utavumilia?Ukweli mchungu huu