Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Kumbe ni vizuri aendelee kukaa jella kwa kuwa anaendelea kunawiri kuliko uraiani anashindia Konyagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni vizuri aendelee kukaa jella kwa kuwa anaendelea kunawiri kuliko uraiani anashindia Konyagi
mwenenu atatoka mjamzito huko shauri yenu furahieni tuChawa wa mama
na mwingine huku gaidi karibu anapata na mimbaAiseeee !
Anapumzika muda mrefuWanasema Jera ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.
Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka Yuko mnyonge Sana, Sabaya sahivi amenyongonyea Sana.
Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.
Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kungaaa.
View attachment 2089362
Wanasema Jera ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.
Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka Yuko mnyonge Sana, Sabaya sahivi amenyongonyea Sana.
Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.
Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kungaaa.
View attachment 2089362
Sio vizuri japo ni kweli[emoji23][emoji23]inasikitisha Sana,
Kawa kama chid benzi[emoji4]
Nyie sasa akili zenu ndiyo zinakondakazi za manyapara hizo anapewa dozi kila kukicha
Huwezi kutupa summary ya ujumbe uliokusudia kuuleta ? Andiko lefu mno.!!Jibu lako hili hapa.
Danieli 3
Nebukadneza anasimamisha sanamu
1 Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo mita ishirini na nane na upana mita tatu. Aliisimamisha katika sehemu tambarare ya Dura, mkoani Babuloni. 2Kisha mfalme akaamuru maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wahudhurie sherehe ya kuzindua rasmi sanamu aliyoisimamisha. 3Basi, maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wakakusanyika tayari kwa uzinduzi wa sanamu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza. 4Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote, mnaamriwa kwamba 5mkisikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, lazima mwiname chini na kuiabudu sanamu ya dhahabu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza. 6Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.” 7Kwa hiyo, watu wote, mara waliposikia sauti za baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, walianguka kifudifudi na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu ambayo mfalme Nebukadneza aliisimamisha.
Marafiki wa Danieli wanashtakiwa
8Wakati huo, baadhi ya Wakaldayo wakajitokeza na kuwashtaki Wayahudi. Walimwambia mfalme Nebukadneza, 9“Uishi, ee mfalme! 10Wewe, ee mfalme, ulitoa amri kuwa kila mtu anaposikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na kila aina ya muziki, ainame chini na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu. 11Na kwamba mtu yeyote asiyeinama chini na kuiabudu sanamu hiyo, atupwe ndani ya tanuri ya moto mkali. 12Sasa, kuna Wayahudi fulani uliowateua kushughulikia mambo ya utawala wa mkoa wa Babuloni, yaani Shadraki, Meshaki na Abednego; watu hawa, ee mfalme, hawakuitii amri yako. Wanakataa kuitumikia miungu yako na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.”
13Hapo mfalme Nebukadneza, huku akiwaka hasira, akaamuru Shadraki, Meshaki na Abednego waletwe mbele yake. Nao wakawaleta mbele ya mfalme. 14Mfalme Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba wewe Shadraki, wewe Meshaki na wewe Abednego, hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha? 15Basi, mtakaposikia tena sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, je, mko tayari kuinama chini na kuiabudu sanamu niliyotengeneza? Kama mkikataa, mtatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali. Je, ni mungu gani anayeweza kuwaokoa mikononi mwangu?”
16Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, sisi hatuhitaji kukujibu kuhusu jambo hilo. 17Ikiwa ndivyo, Mungu wetu ambaye tunamtumikia aweza kutuokoa katika tanuri ya moto mkali; tena atatuokoa mikononi mwako, ee mfalme. 18Lakini, hata kama haitafanyika hivyo, ujue wazi, ee mfalme, kwamba sisi hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyosimamisha.”
Wenzake Danieli wanahukumiwa
19Hapo, mfalme Nebukadneza akawaka hasira, sura yake ikabadilika kwa chuki dhidi ya Shadraki, Meshaki na Abednego. Akaamuru mwako wa moto wa tanuri uongezwe mara saba kuliko kawaida yake. 20Akaamuru watu fulani wenye nguvu kabisa katika jeshi lake wawafunge Shadraki, Meshaki na Abednego na kuwatupa katika ile tanuri ya moto mkali. 21Basi, vijana hao wakafungwa hali wamevaa makoti yao, kanzu zao, kofia na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuri ya moto mkali. 22Kwa vile amri ya mfalme ilikuwa kali, ule moto ulikuwa umewashwa ukawa mkali sana, hata ndimi za moto zikawateketeza wale watu waliowapeleka Shadraki, Meshaki na Abednego. 23Ndipo Shadraki, Meshaki na Abednego, wakiwa wamefungwa, wakatumbukia katika ile tanuri ya moto mkali.
24Basi, mfalme Nebukadneza akashangaa, akainuka kwa haraka na kuwauliza washauri wake, “Je, hatukuwafunga watu watatu na kuwatupa motoni?” Nao wakamjibu mfalme, “Naam, mfalme! Ndivyo!” 25Kisha akauliza, “Lakini sasa mbona ninaona watu wanne wakitembeatembea humo motoni bila kufungwa na wala hawadhuriki, na mtu wa nne anaonekana kama mwana wa miungu?”
Hahahaa Kisa Cha Shedrak, Meshach na AbednegoHuwezi kutupa summary ya ujumbe uliokusudia kuuleta ? Andiko lefu mno.!!
Anakunywa maji ya Kilimanjaro mengi sana.Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.
Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.
Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.
Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.
View attachment 2089362
“Damu ya Yesu “Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.
Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.
Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.
Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.
View attachment 2089362
ukute keshapata bwanaWanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.
Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.
Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.
Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.
View attachment 2089362
Unacheza na Mbowe wewe, daima mi huwa simuelewielewi huyu jamaa.....ni mjanja mjanja fulani anayewajulia watu 'watu wake fulani' vizuri tu. Nina uhakika huko 'gerezani' aliko anapiga stori vizuri tu na mzee mzima jk, makamba, mama yetu na 'vijana wao' kadhaa hivi kila siku jioni. Wanacheeeeekaa!!!!Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.