Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Anapumzika muda mrefu
Anahudumiwa chakula kizuri, most probably na familia na marafiki
Ndani ya moyo wake anajua hajafanya makosa anayotuhumiwa nayo
Ana sympathy kubwa sana kwa jamii
Ameandika historia ya maisha yake
Sympathy inafanya unenepe
 
Ameshakuzoea sio kama hao wengine uliowataja ilikua mara ya kwanza kwao. Na inawezekana maaskari wanamuhudumia vizuri hawajui kesho itakuaje
We unadhani Kuna Askari wa kumuhudia vibaya Mbowe
 
Ni nyampara ,na manyampara hawafanyi kazi,ni kuwaongoza wengine.ila jela imemkubali aise,jamaa limenawiri hivi!!
Hajaukumiwa so sio mnyampara, Hangaya alitamani Mbowe ateseke ampigie magoti Ila mwamba Kagoma
 
Wengine hao uliowataja waliwekwa ndani kwa makosa yao walioyafanya; jamii ilikua inajua, wao wenyewe walikua wanajua; Mbowe kosa lake nini? Huyu ni lazima atakua na AMANI moyoni mwake halafu wanao mtesa wao ndio wanapoteza AMANI ndani ya mioyo yao cause hata wao wanajua kua WANAMUONEA. Unamkumbuka babu Seya? Nae alitoka akiwa kanenepa vizuri tu, aliyemfunga i think hadi leo hua anasikia HUKUMU moyoni mwake. Hata yule jaji aliyehukumu ile kesi (kastaafu sasa hiv) nae aliwahi kuhojiwa siku moja, aliitaja ile kesi kama hatakuja isahau maisha yake yote, means huaga anaumia kumfunga mtu ambaye wala hakukosea hicho alicho hukumiwa nacho, KARMA is bitch
Ni kweli, Jamuhuri wanatamani Bora wasingempa makosa ya uongo
 
Unacheza na Mbowe wewe, daima mi huwa simuelewielewi huyu jamaa.....ni mjanja mjanja fulani anayewajulia watu 'watu wake fulani' vizuri tu. Nina uhakika huko 'gerezani' aliko anapiga stori vizuri tu na mzee mzima jk, makamba, mama yetu na 'vijana wao' kadhaa hivi kila siku jioni. Wanacheeeeekaa!!!!

Eti gaidi..........do you really believe that?!!!!
Apige story na Jk au makamba never kina JK wanafiki tu
 
utawaweza wanasiasa hawa? anafadhiliwa na samiah huyo. Huyo ameshapangiwa bajeti yake kabisa, na pengine vyakula anavyolishwa ni vya gharama tofauti na wafungwa wengine.
Acha ujinga
 
Inategemea na kesi ulivyoipokea sabaya simuoni akinawiri kashavaa sare na anakesi nyingine tayari na yupo kisongo wote tunaijua kisongo ilivyo chakula kipo ila pale shuruba sana ndio maana wafugwa wengi pale wamekondeana
Mmmm
 
... unafananisha chuma cha pua na mkate? Chuma kitapiga kutu kidogo kwa muda ila kiko imara; mkate huoza.
hapati mateso kama wafungwa wengine chumba chake kina hadi AC si unaona anapata hadi muda wa kupaka piko mvi zake magu ndio alim fix alikuja mahakamani nywele zote zina mvi kama lowasa
 
Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Kule hakuna kuchikuchi

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
hapati mateso kama wafungwa wengine chumba chake kina hadi AC si unaona anapata hadi muda wa kupaka piko mvi zake magu ndio alim fix alikuja mahakamani nywele zote zina mvi kama lowasa
Umejuaje chumba chake kina Ac,,,Ila kutesana ni ushamba mkubwa, yaani Viongozi wa African hapana, September utaona Hangaya anaenda UN nakuhubiri vibrant democracy
 
Umejuaje chumba chake kina Ac,,,Ila kutesana ni ushamba mkubwa, yaani Viongozi wa African hapana, September utaona Hangaya anaenda UN nakuhubiri vibrant democracy
figisu hata ulaya zipo mkuu ndio siasa
 
Back
Top Bottom