Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Kule gerezani huyu mwamba hatomb na ukumbuke ARVs zina tabia ya kunenepesha
 
Kumbukeni pia kuwa wafungwa wa kisiasa ama wanasiasa, gerezani huhudumiwa(1st class) tofauti na wafungwa ama mahabusi wengineo.

Kwa kanuni huchagua milo na kulala pasafi.

Ulizeni watu waliopitia vifungo, wana uelewa wa jambo hili nililolieleza kiundani zaidi.

Akibwaga moyo na kupunguza mawazo, atanenepa kinyama na atatoka jela akiwa na shavu dodo na kitambi cha ki boss cha kuning'inia.
 
hapati mateso kama wafungwa wengine chumba chake kina hadi AC si unaona anapata hadi muda wa kupaka piko mvi zake magu ndio alim fix alikuja mahakamani nywele zote zina mvi kama lowasa
Wewe ndio maana ulivunjwa bikra at the age of 5
 
......... Katika kujitetea Sir. Buyer (7ya) alisema eti alikuwa anatekeleza maelekezo kutoka kwa mtu fulani.........
 
Kumbukeni pia kuwa wafungwa wa kisiasa ama wanasiasa, gerezani huhudumiwa(1st class) tofauti na wafungwa ama mahabusi wengineo.

Kwa kanuni huchagua milo na kulala pasafi.

Ulizeni watu waliopitia vifungo, wana uelewa wa jambo hili nililolieleza kiundani zaidi.

Akibwaga moyo na kupunguza mawazo, atanenepa kinyama na atatoka jela akiwa na shavu dodo na kitambi cha ki boss cha kuning'inia.
Acha tu amenona sana
 
Back
Top Bottom