Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Hakuna k _vant
 
Picha ya juu nakaona kadogo S.Nyegu😁😁
Dogo nyegu ni mjinga sana...kipindi nipo moshi nilikuwa namuona club alberto..dogo alikuwa anajiona kufanya kazi ofisi ya mkuu wa wilaya kumbe ikifika usiku yeye na bosi wake wanaenda kufanya armed robbery 😁😁
 
Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Ana amani moyoni mwake na anatambua fika hana hatia
 
Wanasema Jela ni sehemu ya Mateso, na tumeona watu waliokaa rumande walivyobadilika Kama sio kudhoofu.

Mfano Yusuph Manji, alikonda ndani ya Mwezi, Rugemalira ametoka yuko mnyonge sana, Sabaya sasa hivi amenyongonyea Sana.

Lakini kwa Mweshimiwa Mbowe ni tofauti, anatabasamu, anafuraha na amenawiri kwelikweli.

Mbowe tupe Siri ya mafanikio Mbona unazidi kung'aaa.

View attachment 2089362
Acha dhihaka wew

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Kwa nafasi aliyonayo hapa Tanzania mbowe ni mtu mkuuubwa mnoo..huko gerezani ana heshimika saaana..habugudhiwi na wala hateseki..chakula analetewa na familia yake kutoka nje..godoro analolalia mbowe ni saafi tena jipya kabisa..blanketi na shuka za mbowe zinafuliwa kwa maji moto ili kuondoa wadudu wabaya kama kunguni..mbowe anaishi kwa amani saaana gerezani...SUKUMA GANG MSITESEKE DUNIA HII HUWEZI KUPENDWA NA WATU WOTE NA PIA HUWEZI KUCHUKIWA NA WATU WOTE..
Nani Sukuma gang, unanijua
 
Mbowe Ni presidential material.
Apana weka yeye kundi moja na mnyang'anyi Sabaya.
Mbowe alishawahi kugombea the highest office in the land.
Mbowe Ni kiongozi wa kitaifa.
Sabaya anakula vipisi vya nyama anavyopewa na nyapara kwa makubaliano maalum.
Mbowe anakula chakula kutoka sehemu Kama Kempiski.
Na System wanamuogopa ndo maana wanamfanyia mazila ili kumkomoa
 
Kuna wakati nlijua ukiwa na pesa unakua na kila kituu....hadi nlipokuja kugundua pesa inakupa outer cover.... tu na kuonekana kama hiyo ila
Nothing bigger than PEACE mkuu!
Ndo hvyo mkuu
 
Inakera sana naomba waziri wa mambo ya ndani aunde tume. Mtuhumiwa ananawiri wakati mwendesha mashtaka anachoka
Haaaa kina Kingai na Mahita wamechoka hatari
 
Back
Top Bottom