German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

Ndugu mimi PM napaogopa bwana naomba nielekeze bei tu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Aliye serious katika kuhitaji mbwa hawa hatasita kufanya biashara pm mahali ambapo tutapeana na namba za simu kwa mawasiliano zaidi. Walio wengi hawawezi kuanika namba zao za simu hapa!! Malipo ni mkono kwa mkono baada ya kumwona GS mwenyewe!!
 
Sasa bei unauliza vipi haujaona biashara, lazima ujue chanjo alizopata, umri na historia ya wazazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…