Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo battle nawauzia wazee wa mbege kule kwa mromboo na wajukuu wa mkwawa watuambie kitoweo kipi kitafaa kunywewa na mbege au ugimbi.
Nadumisha mila ya wahehe,ile wengine ilishashindwa,mbwa ni mtamu kuliko hata kitimoto
Hauwajui GS na aina zake zote!! Kuna German Shepherd long hair/coat na German Sherpherd short hair/coat.. Wa kwangu ni SHORT HAIR.Huyo kwenye picha sio pure
Zambia Shepherd sina, kwa maana ya mbwa koko wa Zambia. Ila Wazambia wafuga mbwa ni wajanja sana!! Local breed yao ni hii hapa:Mkuu una zambia shepherd
mkuu caucasian shepherd, anatolian shepherd na central asian shepherd naweza kupata hapa bongo?Zambia Shepherd sina, kwa maana ya mbwa koko wa Zambia. Ila Wazambia wafuga mbwa ni wajanja sana!! Local breed yao ni hii hapa:
View attachment 2747144
Lakini Wazambia hufuga sana German Shepherd kibiashara na huitangaza kama Zambia Shepherd!! Kiuhalisia Zambia Shepherd ni mbwa koko tu kama hao wa kwetu, lakini wamelazimisha German Shepherd kuiita Zambia Shepherd!!. Kwa hiyo ukinunua Zambia Shepherd utakuwa umenunua German Sherpherd kutoka Zambia!! Hakuna tofauti na kununua GS toka nchini kwako Tanzania!!
Kwa mfano huyu hapa chini alitangazwa kama Zambia Shpherd, lakini kiukweli ni German Sherpherd!!
View attachment 2747149
Zambia kuna wafugaji mashuhuri sana wa German Shepherd, na ni wauzaji wa mbwa hao kimataifa. Kwa ajili ya kupambania soko, GS wanaotoka Zambia wanawaita ZAMBIA SHEPHERD. Lakini ndo huyo huyo GS. Sisi watanzania tungeweza pia kujiimarisha katika ufugaji wa kibiashara wa mbwa hawa na tukatambulisha mbwa wetu kwenye soko la kimataifa kama TANZANIA SHEPHERD. Huko Tabora kuna aina ya mbwa wanaitwa mbwa wa KIPUGE!! Huwezi kuwatofautisha na GS isipokuwa hawa wana miili midogo na intelligence yao japo ni kubwa lakini haiwafikii GS. Lakini ni wakali sana kuzidi hata hao GS. Kwa ulinzi ni wazuri sana!!
Local breed nyingine ya Zambia ambayo jamaa hao huiuza ni hii hapa:
View attachment 2747152
Ukiwaangalia hawa, hawapishani na koko wetu wa kitanzania. Lakini jamaa wanawapamba kwenye mitandao na wanawauza kweli kweli!.
Nawajua mbwa vizuri kukuzidi,Hauwajui GS na aina zake zote!! Kuna German Shepherd long hair/coat na German Sherpherd short hair/coat.. Wa kwangu ni SHORT HAIR.
Watu walio wengi wamekariri GS long hair, wakimwona short hair wanadai ni CROSS. Ukiwauliza ni cross na breed ipi? Au ukiwauliza kitu gani kinakufanya useme huyo ni cross jasho linawatoka! wanaanza kung'aa macho. Huyu wangu ni German Sherpherd short coat.
Lakini GS short hair bado ana manyoya marefu sana ukilinganisha na na hawa mbwa koko! Mtazame tena GS wangu ujiridjishe na hilo.
Ukitaka nikupe shule zaidi sawa!!. Kuna wengine wanadhani kwa kuwa GS waliyemwona alikuwa mweusi au amechanganya weusi na kahawia basi akiona GS mwenye manyoya mekundu, au meusi na meupe atakuambia huyo siye GS. GS ni jamii ya mbwa na wanaweza kutofautiana sana kama vile waafrika au wazungu wanavyotofautiana sana!!
Halafu wengine wanadhani kwa kuwa GS waliyemwona alikuwa na size fulani au umbule fulani kwa maana ya ukubwa/uzito, basi wanafikiri kila GS lazima awe na size au umbile hilo au uzito huo. GS wanazidiana sana kwa uzito lakini wanaanzia Kilo 20 hadi kwenye kilo 50.
Lakini wote wanaunganishwa na vitu kadhaa vya msingi:
1. Akili/Intelligence. Mwalimu wa mbwa mwenye taaluma hiyo anaweza kutest IQ ya mbwa. Na GS lazima awe na IQ kubwa si chini ya kiwango fulani. Wana Uwezo mkubwa sana wa kufundishika.
2. Wana silika ya ulinzi!! Haiwachukui muda kulifahamu eneo lao wanalohitaji kulilinda.
3. Masikio yaliyosimama na wanaweza kuyachezesha. (Japo kuna ambao hawawezi kuyachezesha lakini hiki kinachukuliwa kama kilema kwao na si kitu cha kawaida). Lakini wakiwa watoto masikio yao huwa hayajasimama na huanza kuyasimamisha na kuyachezesha kwa kadri wanavyokua. Huanza kusimamisha na kuchezesha masikio kidogo kidogo kuanzia miezi 2 hadi 6. Lakini hata kama hayajasimama ukimwangalia utaona ana uwezo wa kuyachezesha japo kwa taratibu.
4. Miguu ya mbele ni mirefu kidogo kuliko ya nyuma. (Japo hii haichukuliwi kama kigezo cha msingi sana maana kuna aina nyingine pia ziko hivyo hivyo).
Kama utakavyoona hapo chini, GS Short hair ndo hasa wana silika kali ya ulinzi na ni wakali zaidi. Pia ni rahisi kutunza usafi wao.
Short Haired German Shepherds: Everything You Need to Know
![]()
The fur sometimes flies among German shepherd fanciers regarding coat lengths.
In fact, two coat varieties are seen in the breed, including so-called “short-haired German shepherds” and “long-haired German shepherds.” But if you refer to the breed standard, it describes the ideal shepherd as having a medium-length coat.
Long Haired German Shepherd At A Glance
The Long Haired German Shepherd is a courageous love bug who is much more interested in playing than protecting.
![]()
![]()
![]()
![]()
Long Haired German Shepherds are very similar to the standard German Shepherd but they are typically much more outgoing and friendlier with everyone they meet. These pups require some extra care in terms of grooming but are loved for their beautiful personality and appearance.
NB: GS wenye manyoya marefu wanapenda urafiki zaidi, japo wanaweza ulinzi hasa kwa kufundishwa maana wana akili sana na wanafundishika, japo silika yao si ya ulinzi zaidi kama GS wenye manyoya mafupi/ya kadri!!. GS long hair ni wa maonyesho na mapambo zaidi!!
Kwa shule hii ni mbishi wa asili tu atakayejifanya kuwa bado haelewi!!
Huwezi kumtambua mwafrika mwenye asili ya afrika kwa kuangalia uzito wake, urefu wake na vitu kama hivyo. Lakini kuna kitu cha msingi kinachowaunganisha waafrika wote!! Ni kiwango cha melanin (chembe chembe za weusi kwenye ngozi yao). Hata kama mwafrika anaonekana kuwa mweupe lakini ana kiwango kikubwa cha melanin kuliko watu wa mabara mengine (Japo kuna baadhi ya wahindi ni weusi sana-wana kiwango cha melanin kilichpitiliza). Hali kadhalika kigezo pekee cha kitaalam cha kumtambua GS ni kiwango chake cha akili/level of its intelligence!!. Amewazidi aina nyingine ya mbwa kwa mbali sana!! Kwa bahati nzuri wataalam wa mbwa wanajua kupima IQ ya mbwa!!.
Pole. Wenye ajili zao wameshapambanua who is who! Unakataa bila kutoa sababu ya kitaalam kuonesha kuwa umedandia taaluma usiyoijua!! Pamoja na ufafanuzi wote huo na nukuu ya maelezo ya zidaa!! Au lugha ya malkia pia ni matatizo!!Nawajua mbwa vizuri kukuzidi,
Kama mtu anaejua magari ikipita Honda cx5, Honda Crossroad, Toyota GXR zote anazijua, Sasa ndio Mimi kuanzia dachshund, Australian shepherd (border collie), poodle, dogo argentino, doberman Hadi top box head German machine (rottweiler) NAWAJUA, huyo wako sio pure German Shepherd.
Hizi breeds ni nzuri lakini haziko popular kwa hiyo ni ngumu kuzipata!mkuu caucasian shepherd, anatolian shepherd na central asian shepherd naweza kupata hapa bongo?
Hapa ndipo ulipoharibu. Wabongo sijui tuna tatizo gani na swala la kutaja bei umma ujue.Bei karibu pm
Mbwa anahitaji matunzo!! GS ukimfuga kikoko, chakula ajitafutie, haogeshwi na dawa, hapewi mazoezi, na hakupewa mafunzo stahiki ni kweli atakuwa koko na ukoko utamshinda atakufa!! Hawezi kustahimili maisha ya ukoko!! Lakini GS ukimtunza (mwuzaji lazima atakupa shule namna ya kumtunza) hutojuta kumpata!! Utaiona kwake thamani ya pesa uliyomnunulia na unayomtunzia!!Huku kwetu mbwa ata awe mkali vipi!
Kesho ana kuwa koko...! Anapigwa dumba na ngai anakuwa koko ana kumalizia chakula ambacho akifanyii kazi
Zaidi ya kuwa ana kusaidia kupokea wageni, na kukuletea viroboto
Mbwa wana wasumbua wapaa na ungo hivyo dawa yao wana waroga, kubweka kwisho anabakia kuwa mdoli au sanamu
Mafunzo ni hela yako tu mkuu!! Ila tatizo walimu wa mbwa siku hizi wanatuhumiwa kuiba mbwa!! Akijua unapoishi, na mbwa wako ni mzuri amempenda, anamfuata usiku kwa kuwa wanajuana hata hatapiga kelele!! Ni vizuri mwalimu asijue nyumbani kwako kwa usalama zaidi!.Napenda sana mbwa ambao wana mafunzo
Nikiwa na hela hata Tiger nitafuga
View attachment 2748435
View attachment 2748436
View attachment 2748437
Belgium shepherd sina.Mimi nataka Belgium sherpherd unae?.
Au German shepherd lakini awe pure black