German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

German Sherpherd: Mbwa wenye akili kubwa ya ulinzi

Vipi XL Bully naweza pata

1694644279250.png

1694644509975.png
 
Kitu hiki hapa: Ukimkuta live hutakuwa na la kusema!! German Shepherd short hair.
Mkuu mimi nafuga mbwa kama hao. Ila kila nikiangalia nachelea kusema huyo sio pure.

Miguu, masikio, muonekano wake kwa ujumla ni cross....

Nina cross wawili wakubwa na pure wawili ambao ni wadogo....
 
Mbwa anahitaji matunzo!! GS ukimfuga kikoko, chakula ajitafutie, haogeshwi na dawa, hapewi mazoezi, na hakupewa mafunzo stahiki ni kweli atakuwa koko na ukoko utamshinda atakufa!! Hawezi kustahimili maisha ya ukoko!! Lakini GS ukimtunza (mwuzaji lazima atakupa shule namna ya kumtunza) hutojuta kumpata!! Utaiona kwake thamani ya pesa uliyomnunulia na unayomtunzia!!
Wanapigwa ndumba wanakaa...!

Wapo pia wataalam wanacheza na mbwa ata awe mkali vip...!
 
Back
Top Bottom