Mbwa anahitaji matunzo!! GS ukimfuga kikoko, chakula ajitafutie, haogeshwi na dawa, hapewi mazoezi, na hakupewa mafunzo stahiki ni kweli atakuwa koko na ukoko utamshinda atakufa!! Hawezi kustahimili maisha ya ukoko!! Lakini GS ukimtunza (mwuzaji lazima atakupa shule namna ya kumtunza) hutojuta kumpata!! Utaiona kwake thamani ya pesa uliyomnunulia na unayomtunzia!!