PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?

No2HooliganismONcampus

*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.
No reforms no election
 
Halafu alivyo mjinga eti anazuga kwa kupenyezea habari za Derby.

Huu pia ni uthibitisho namna Serikali inatumia timu za Kariakoo kufanya propaganda za kuwatoa watu kwenye mstari wasi focus na mambo muhimu.

Somehow namuelewa Lema.
Kweli kabisa mkuu, Simba, yanga na kubeti au soka kwa ujumla inatumika sana kuwapumbaza vijana.
 
Waachaje siasa wakati ccm ina matawi mpaka vyuo?

By the time kijana anaenda chuo ni umri wa kujielewa kabisa, anajua yuko pale kufanya nn
 
Vijana waliomzomea Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mheshimiwa Gerson Msigwa, Je, waliozomzomea pale UDOM wanaweza kufukuzwa Chuo?

No2HooliganismONcampus

*University by-laws ziheshimiwe na wanachuo. Wachukuliwe hatua stahiki.

Yeye Msigwa alienda kutafuta nini huko chuoni?
 
Wafukuzwe Chuo. Kisha wapandishwe mahakamani ikithibitika wanyongwe hadi kufa
 
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
No Reforms No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…