Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshindwa kujibu kwa hoja unatangatanga huna lolote vibaraka wa mabeberu nyieNarudia tena toa UZWAZWA wako. UZWAZWA wako huko huko lumumba siyo humu, humu utapigwa za uso tu kuhusu huyo anayejiita mwendawazimu.
Hukumuelewa ndugu. Chato ni mahali tu barua ilipoandikiwa. Lakini neno IKULU ni muendelezo wa cheo chake yaani MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAISI, IKULU.Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
![]()