Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.

2401425_20200516_21060062162.jpg
Zamani Kila mkoa kulikua kuna Ikulu na hata wilaya pia
Sasa kuna shida gani kama yuko Ikulu ndogo ya Chato
 
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.

2401425_20200516_21060062162.jpg
Unamaanisha Msigwa akiwa Chato, cheo chake cha Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu kinapotea? Aaah jamani.
 
Unajiona una akili lakin hauna kitu kichwani. unaandika tu mahabari ya umbea mtandaoni ambayo hayana ukweli wowote. Wewe unafikiri trilioni inaweza kuibwa tu isiwe na ushahidi mpaka leo ?

Ndege hajazuiwa mtu kukagua, hazikuweka kwanza kama mali ya ATCL ili kuzilinda juzjuzi zilitaka zizuiwe na yule mkulima tapeli na tukamshinda. Uwanja wa ndege uliidhinishwa na bunge letu na ni uwanja muhimu sana kwa kanda ya ziwa subiri na ATCL ianze kutua ndio utajiona huna akili na hujui ulisemalo.

Uchaguzi hakuna aliyeiba kura , sisi tulimpigia kura kwa kishindo, hao waliokuwa wanasema wameibiwa kura ni watu waliokuwa na uchu wa madaraka tu na wanaotumiwa na mabeberu kutaka kuiba mali za nchi yetu. Rais Magufuli sio mwizi ni mzaledo aliyebadili siasa za Afrika na dunia kiujumla, watanzania wengi tunampenda na tutaendelea kutangaza mazuri anayoyafanya kwa nchi yetu.

Hakika ni mkombozi wa nchi yetu, nashangaa unakaa tu kwenye mitandao unaandika tu umbea tena wa uongo, ilitakiwa ukamatwe uadhibiwe na mkono wa sheria mpaka akili zikukae sawa uwe na heshima kwa kiongozi wetu mkuu katika mapambano ya kuleta maendeleo nchini.
 
Why chato,

Kuna kitu kiko hapo.

Mheshimiwa aseme ili watanzania tuitambue chato kama ikulu pia.
 
Wewe ZWAZWA mzalendo HATHUBUTU kuliibia Taifa lake. View attachment 1674175
Magufuli sio mwizi, acha uongo. Hayo magazeti ya miaka ya zamani ambapo vyombo vya habari vilikuwa vimeanza kupoteza weledi. Magufuli amekuwa na msimamo katika kipindi chake chote cha uongozi, hayo magazeti yalikuwa yanatumiwa tu na mafisadi yenye hela kutaka kumharibia, na walishindwa kumshusha akawa Rais na ndio anapambana nayo mafisadi kwa kutumia sheria. Usirukie tu umbea na kufikiri ni ukweli acha kumchukia Rais wetu aliyethubutu kupambana na mafisadi, mabeberu waovu wanaotaka kutudidimizisha kama taifa. Ukiendelea tu kueneza uongo na kuchafua nchi yetu wewe utakuwa ni adui wa maendeleo na nchi kiujumla. Wote tuwe wamoja tusimvunje moyo Rais wetu mzalendo.
 
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.

2401425_20200516_21060062162.jpg
The Presidential Communications Office, State House.

Ofisi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

Director, The Presidential Communications Office. State House.

Ndio uzi unapandishwa, naamini muda tunao wa kuchezea.
 
Wewe utakuwa kibaraka wa mabeberu, fisadi usiye na aibu unajifanya unaona mbali ila ni mwizi tu, Rais Magufuli kakukomesha
Vibaraka ni nyie mnaosifu na kuabudu kwa kila kitu. Kunikomesha ni kuondoa pumzi ya uhai, maadhal niko mzima mambo mengi nayachukulia kama challenge maishani. Na changamoto ni mambo ya kuyapa akili kazi

Odhis *
 
Narudia tena toa UZWAZWA wako. UZWAZWA wako huko huko lumumba siyo humu, humu utapigwa za uso tu kuhusu huyo anayejiita mwendawazimu.

Back
Top Bottom