Wivu tu, kila zama na kitabu chake. Kwanini Mwalimu, Mkapa na Kikwete hawakujenga flyover yoyote nchini ? Kwanini hawakujenga SGR na kuleta treni za umeme au kwanini hawakufanikiwa kuamishia serikali Dodoma ? Kwa nini hawakujenga Stiegler Gorge. Magufuli ameonyesha uthubutu, hakuna sababu ya kufananisha uongozi wake wa sasa na waliopita Magufuli anonyesha kujiamini na kuthubutu kuleta viongozi kijijini Tanzania karibu na alipokulia na sio huko mjini. Huyu ni mzalendo, anaipenda Tanzania na anatukumbusha kupenda tulipotoka na kujiamini, sio kukimbila tu mjini ukiachana na chuki na wivu utaona hayo