MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Dah mbona mnasakama sana Muheshimiwa Raisi, muacheni atulie kokote, yuko Tanzania hajakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si ujajitia umesoma sheria, nenda katafute maana ya official residence, sitegemei uongee kama lumpen! You have knowledge and tools to guide you on issue in controversy. You should not respond under partisan/homeboy drive!Kiukweli uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu ni shida..
Nini tena kimemfukuza huko Mkuu? Manake hamu ya kukaa jumba jeupe imeisha?Kwani kaenda kuhamishia makazi huko anapenda, si kuna jambo limemfukuza huku daslam.
Unapotosha kwa makusudi. Rais JPM au bwana JPM hana mamlaka ya kuamua akafanyie official business wapi. Ikulu ni State House na kwa sasa kisheria ni either Magogoni pale au Chamwino. Hili wala halihitaji mabishano.
Hii dhana kwamba Rais anaweza kujiamulia chochote anachotaka ni matokeo ya kuwa na very weak institutions. Tunaweka precedence mbaya sana na ipo siku Muha akiingia Ikulu pale anaweza akaamua kuihamishia Buhigwe huko na watetezi wa kila kitu mkaendelea kutetea huo uvundo
yeye nafasi yake ndo mkurugenzi wa mawasiliano ikulu ila ameandika akiwa chato, hujaelewa nini hapo?Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndungulile.
![]()
usiwe jinga, soma between linesyeye nafasi yake ndo mkurugenzi wa mawasiliano ikulu ila ameandika akiwa chato, hujaelewa nini hapo?
Huyu jamaa anatupa wakati mgumu sana sisi watetezi wake..
nadhani wewe ndo unahitaji kusoma vizuri..usiwe jinga, soma between lines
Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Alipo Rais na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamko au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Rais ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani mna mkomoa nani?Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Nafikiri huyu bwana basi abakie huko aliko tutafute mwingine akae chamwino.Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
![]()
Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Tukipata rais mzaliwa wa Dodoma huu wimbo wa Dodoma makao makuu utaisha.Nimesoma barua ya uteuzi wa Naibu waziri wa afya,naona msemaji wa Ikulu ameandika akiwa Ikulu chato,nikajiuliza maswali mengi mojawapo ikiwa ni:- Kama imechukua muda mfupi kuhamia Ikulu ya chato,nini kinatufanya tushindwe kwa miaka kadhaa kuhamia Ikulu ya Dodoma?
Suala la kuhamia Dodoma limekuwa la kubeep beep tu lakini kwenda chato imekuwa ni la haraka sana,lini yalifanyika maandalizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karudie kusoma nakala ya Katiba yako tena.Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Hujui fasihi wewe wala uandishiMsigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.