Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hizi Akili TUSAHAU NCHI HII KUENDELEAIkulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
UNAZNGUMZIA MAREKANI GANI?...Nchi kama marekani ofisi ya rais NI popote alipo anapoweza kufanya kazi. Airfoce one, the beast, nk zote Zina ofisi ya rais. Ofisi sio lazma ikulu.
I rather stay cool than yours, though I respect you.What about your post?
Yenye airforce 1.UNAZNGUMZIA MAREKANI GANI?...
Ikulu ni Ofisi ya Rais iliyo kamilika ni kwa kuwepo maafisa wote, vifaa vyote vya ulinzi, usalama na mawasiliano.Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Rurenge, Ngara. Ibada ipo on now.
Pakirasimishwa inabidi pawe advertised in the gov gazette, laabda imenipita lkn sijaona wala kusikia. Akitoka madarakani inakuwa mali ya serikali?
Position ya rais is different from Mbunge please avoid shallow observations of issuesUnamshangaa Magufuli wakati tuna kamanda anaongoza chama kwa Whatsapp na Youtube huko Ubelgiji?
Jimbo alilitelekeza miaka miwili wakati akizurura Marekani.
Mke wa Magufuli hayupo Chato.Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?
Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote wa miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?
Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Huu utawala unawapa tabu sana watetezi vitendo na kauli zake ni shida tupu.Kiukweli uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu ni shida..
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
P
Hahahahaha hahahaha amesharudi kulalaHana akili ya kuweza kupata tafsiri ya maneno yako haya. Umeyaweka katika kipimo cha akili asichoweza kukielewa, uwe na huruma Elli Mshana
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU kuna viumbe humu watasifia kila kitu,, tena kibaya zaidi sio kwa hoja Bali vitisho na matusi,,,utaitwa unatumiwa na na beberu,,,mara Mke wa Mbowe,,hawawezi kujenga hoja kabisa... mfano Bia yao,,Huu utawala unawapa tabu sana watetezi vitendo na kauli zake ni shida tupu.
Kuapisha mawaziri ambao bado hawajaapishwa bungeni. Tukaletewa maneno mengi.
Kuteua acting chief justice. Jambo ambalo limefanywa mara moja tu katika nchi yetu na Nyerere. Kabudi akaongea anayoweza, likapita.
Kuiambia mahakama kuna kesi nyingi za kodi, zimalizeni haraka serikali ipate hela tuwape mahakama.
Kudai mhimili wake ndio mkubwa kuliko mingine... Hapa sitaki kuongeza jambo
Kaahimia Chatto mwezi wa pili sasa, wananchi hatujui kwanini wala anarudi lini.
Tunaona firsts nyingi sana utawala huu, na inabidi muendelee kupiga sarakasi. Ila mkumbuke precedence has been set, kesho Rais mwingine akienda kujificha Ileje msije kuuliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Magu yupo Chato anafanya kazi, wabunge wa chadema walioenda dar kula Bata nao mbona hawalaumiwi?Umeona ehh... Turudi kwa yanayoendelea Chato
Msingwa inawwzekana akawa ni padri na unayosema wewe ya kawa hayana msingi wowote kwake. Msigwa mwenyewe haja lalamika. Respect the right to privacy!Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?
Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote was miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?
Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Vipi kuhusu watoto nyumbani, nao si wana haki ya kupata mapenzi ya baba na Mama?
BAK, Pascal Mayalla na Mshana Jr, Salary Slip , Bia yetu, jingalao, Retired, Naombeni mnisaidie majibu