Watanzania wote labda wewe na familia yakoSema inachukiwa na watu wa Kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wote labda wewe na familia yakoSema inachukiwa na watu wa Kilimanjaro
Mkuu ulikuwa na point ila dah soma tena ulichoandikaMakabila mengine ndio maana umasikini umewajaa hawapendani Sasa hebu fikiria hiyo taarifa kaito Gershoni Msigwa wa Ikulu na anatoka kimoja na Msigwa mbunge
Halafu Msigwa anamkejrli Msigwa mwenzie!!
Pili Mtoto wa Magufuli kaoa kwa akina Msigwa huyo huyo mbunge hata heshima kidogo tu kwa baba mkwe wake Msigwa Hana!!! Anakejeli
Ushauri wangu watu wasioe kutoka vikabila vya ajabu Kama vya mchungaji Msigwa
Hapo yangekuwa makabila mengine Kama wachaga wasingethubutu kukebehi hivyo Kama Magufuli angekuwa mkwe wao na mkurugenzi wa Ikulu angekuwa my wa Kwao
Ukweli niseme wazi ukabila Mara ingine ingawa Tanzania tunaupiga Vita lakini mimi. Napendekeza iendelee kwa baadhi ya makabila. Kabila la Msigwa ni vizuri wawe wakioana wao kwa wao wasipandikize kizazi Cha ajabu ajabu kwenye makabila mengine. Imeniuma Sana wewe fikiria pamoja na uchungaji wake ujinga haujamtoka, heshima Hana hata mkwewe Magufuli Wala kwa ndugu yake Gershoni Msigwa.Sasa imagine hao kabila ya mchungaji Msigwa wasiona dini Hali ikoje
Kama mtu aweza dharau mkwe Rais fikiria mfano hata uwe na maendeleo gani huko kikabila Chao utadhataulika tu. Dawa waachwe wawe wanaoana wao kwa wao mbegu jinga Kama hiyo ibaki kwao
Vipi ukiwa CCM? Je lazima ukabidhi akili kwa jiwe (yaani uwe unafikiri kama Bashite)?Kuwa mpinzani la kwanza ni kujitoa ufahamu hata kama jambo unalijua!
Pamoja na hilo tuamhieni kwa nini Rais amejifungia Chato kwa zaidi ya siku 50 sasa.Alipo Raisi na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamio au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Raisi ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
Tuonyeshe imeandikwa kwenye sheria ipi jambo hilo!Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Jibu tutalipata kama kutakuwa na ibada na Msigwa atamsindikiza Pombe na mkewe kanisani. Sisi wa diocese ya Rurenge ibada yetu ni radio Kwizera tena fupi dk. 45 tu. Hatutoi sadaka.Huyu jamaa sijui amekunywa uji wa corona, Sasa haya Ni maswali gani this morning?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili ya kuweza kupata tafsiri ya maneno yako haya. Umeyaweka katika kipimo cha akili asichoweza kukielewa, uwe na huruma Elli MshanaHili wala sijapinga, nimesema tu kwa upole kabisa kuwa kumbe ni rahisi sana kuhama kutoka Dar kwenda Dodoma, why watu walikua wanashindwa miaka yote hio? Hongera sana
Hebu tulia kwanza kisha usome ulichoandika. Ulimaanisha nini hasa??Makabila mengine ndio maana umasikini umewajaa hawapendani Sasa hebu fikiria hiyo taarifa kaito Gershoni Msigwa wa Ikulu na anatoka kimoja na Msigwa mbunge
Halafu Msigwa anamkejrli Msigwa mwenzie!!
Pili Mtoto wa Magufuli kaoa kwa akina Msigwa huyo huyo mbunge hata heshima kidogo tu kwa baba mkwe wake Msigwa Hana!!! Anakejeli
Ushauri wangu watu wasioe kutoka vikabila vya ajabu Kama vya mchungaji Msigwa
Hapo yangekuwa makabila mengine Kama wachaga wasingethubutu kukebehi hivyo Kama Magufuli angekuwa mkwe wao na mkurugenzi wa Ikulu angekuwa my wa Kwao
Ukweli niseme wazi ukabila Mara ingine ingawa Tanzania tunaupiga Vita lakini mimi. Napendekeza iendelee kwa baadhi ya makabila. Kabila la Msigwa ni vizuri wawe wakioana wao kwa wao wasipandikize kizazi Cha ajabu ajabu kwenye makabila mengine. Imeniuma Sana wewe fikiria pamoja na uchungaji wake ujinga haujamtoka, heshima Hana hata mkwewe Magufuli Wala kwa ndugu yake Gershoni Msigwa.Sasa imagine hao kabila ya mchungaji Msigwa wasiona dini Hali ikoje
Kama mtu aweza dharau mkwe Rais fikiria mfano hata uwe na maendeleo gani huko kikabila Chao utadhataulika tu. Dawa waachwe wawe wanaoana wao kwa wao mbegu jinga Kama hiyo ibaki kwao
Karibu ikulu kubwa ya huku mafichoni. Usiende kule sipo.
Hivi Yule Mwenyekiti wa Manunda @ Saccos akiwa Dodoma na Arusha na nyumba ndogo mkewe anakua chumba hicho hicho na wewe unakuwa mlangoni kama mlinziYeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?
Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote wa miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?
Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Kama huwezi kuona tofauti ya mazingira yao una haki ya kuitwa mjingaUnamshangaa Magufuli wakati tuna kamanda anaongoza chama kwa Whatsapp na Youtube huko Ubelgiji?
Jimbo alilitelekeza miaka miwili wakati akizurura Marekani.
Ibada imaanza radio Kwizera sasa hivi.
Kumbe anaongoza chama???? Vipi Lipumba anaongozaje chama? Dovutwa je?? Lyemba.....??Unamshangaa Magufuli wakati tuna kamanda anaongoza chama kwa Whatsapp na Youtube huko Ubelgiji?
Jimbo alilitelekeza miaka miwili wakati akizurura Marekani.
Sawa dada lohKaribu ikulu kubwa ya huku mafichoni. Usiende kule sipo.