Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Nchi kama marekani ofisi ya rais NI popote alipo anapoweza kufanya kazi. Airfoce one, the beast, nk zote Zina ofisi ya rais. Ofisi sio lazma ikulu.
 
Hivi kwa nini siku hizi JF Pumba zimekua nyingi sana,,yaani ule u great thinker umeisha
 
Ikulu ni ofisii ya Raisi sio jengo .ofisi ya Rais inaweza kuwa hata kwenye hema au gari au laptop
Ikulu ni Ofisi ya Rais iliyo kamilika ni kwa kuwepo maafisa wote, vifaa vyote vya ulinzi, usalama na mawasiliano.
Mbona US inajulikana kuwa White house ndiyo Ikulu na hatujawahi sikia Rais akiwa Camp David amepumzika pakiitwa Ikulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamshangaa Magufuli wakati tuna kamanda anaongoza chama kwa Whatsapp na Youtube huko Ubelgiji?
Jimbo alilitelekeza miaka miwili wakati akizurura Marekani.
Position ya rais is different from Mbunge please avoid shallow observations of issues
 
Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?

Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote wa miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?

Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?

Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?
Mke wa Magufuli hayupo Chato.
 
Huu utawala unawapa tabu sana watetezi vitendo na kauli zake ni shida tupu.

Kuapisha mawaziri ambao bado hawajaapishwa bungeni. Tukaletewa maneno mengi.

Kuteua acting chief justice. Jambo ambalo limefanywa mara moja tu katika nchi yetu na Nyerere. Kabudi akaongea anayoweza, likapita.

Kuiambia mahakama kuna kesi nyingi za kodi, zimalizeni haraka serikali ipate hela tuwape mahakama.

Kudai mhimili wake ndio mkubwa kuliko mingine... Hapa sitaki kuongeza jambo

Kaahimia Chatto mwezi wa pili sasa, wananchi hatujui kwanini wala anarudi lini.

Tunaona firsts nyingi sana utawala huu, na inabidi muendelee kupiga sarakasi. Ila mkumbuke precedence has been set, kesho Rais mwingine akienda kujificha Ileje msije kuuliza

MKUU kuna viumbe humu watasifia kila kitu,, tena kibaya zaidi sio kwa hoja Bali vitisho na matusi,,,utaitwa unatumiwa na na beberu,,,mara Mke wa Mbowe,,hawawezi kujenga hoja kabisa... mfano Bia yao,,
 
Yeye Magufuli huko Yuko na mkewe na anapata huduma za kinyumba Kama kawaida. Vipi Msigwa huduma za kinyumba anapatia wapi, maana ana muda mrefu Sana huko, au naye mke wake Yuko huko?

Kama mke wa Msigwa Yuko huko kwa muda wote was miezi miwili, je Yuko huko kwa gharama za Nani?
Kama ni gharama za serikali je hayo ni matumizi sahihi ya fedha zetu?

Kama Msigwa huko Yuko mwenyewe je huo sio ukiukwaji wa haki za binadamu kwa kukandamiza haki ya kupata burudani kwa mama Msigwa na Msigwa mwenyewe?

Vipi kuhusu watoto nyumbani, nao si wana haki ya kupata mapenzi ya baba na Mama?
BAK, Pascal Mayalla na Mshana Jr, Salary Slip , Bia yetu, jingalao, Retired, Naombeni mnisaidie majibu
Msingwa inawwzekana akawa ni padri na unayosema wewe ya kawa hayana msingi wowote kwake. Msigwa mwenyewe haja lalamika. Respect the right to privacy!
 
Back
Top Bottom