Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Gerson Msigwa, Chato hakuna Ikulu

Dah mbona mnasakama sana Muheshimiwa Raisi, muacheni atulie kokote, yuko Tanzania hajakimbia
 
Guys Mkuu alipata ubunge kwa ridhaa ya wananchi wa chato, walimuamini wakampa nafasi na akaonekana kwa wakubwa..
Ni vyema kuwarudishia fadhila wanachato kwa kuwainua kichumi pia..
Na kwa yeye kuwa chato ina maana hoteli zinajaa biashara mbalimbali zinakwenda vizuri sana hasa katika kipindi hiki cha uchumi mgumu...
Waacheni wanachato wafaidi matunda ya mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli uelewa wa baadhi ya Watanzania wenzetu ni shida..
Wewe si ujajitia umesoma sheria, nenda katafute maana ya official residence, sitegemei uongee kama lumpen! You have knowledge and tools to guide you on issue in controversy. You should not respond under partisan/homeboy drive!
 
Kwani kaenda kuhamishia makazi huko anapenda, si kuna jambo limemfukuza huku daslam.
Nini tena kimemfukuza huko Mkuu? Manake hamu ya kukaa jumba jeupe imeisha?
tapatalk_1589279509724.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu ni cheo cha msigwa so haimanishi kwamba yupo ikilu!
 
Unapotosha kwa makusudi. Rais JPM au bwana JPM hana mamlaka ya kuamua akafanyie official business wapi. Ikulu ni State House na kwa sasa kisheria ni either Magogoni pale au Chamwino. Hili wala halihitaji mabishano.

Hii dhana kwamba Rais anaweza kujiamulia chochote anachotaka ni matokeo ya kuwa na very weak institutions. Tunaweka precedence mbaya sana na ipo siku Muha akiingia Ikulu pale anaweza akaamua kuihamishia Buhigwe huko na watetezi wa kila kitu mkaendelea kutetea huo uvundo

Rais ni tofauti na watumishi wengine kama waziri au wabunge. Rais kwa tafsiri nyingine ndo mtawala wa nchi. Popote anapokuwa anaweza tekeleza majukumu yake ya kiurais si mpaka awe ikulu ya Dar au Dodoma. Ndo maana kuna ikulu ndogo kadhaa katika Mikoa mbalimbali nchini. Si Mikoa tu hata baadhi ya Wilaya chache. Pia Rais anapokuwa kwake nyumbani si kwamba hana mamlaka ya Rais. Mamlaka anakuwa nayo na anafanya shughuli yoyote ile. Nimeona pia ktk nchi za wenzetu. Watawala wao wana Makazi madogo katika sehemu mbalimbali ambapo kiongozi huyu uweza kwenda. Na hizi sehemu uwa na hadhi ya ikulu ndogo au Makazi madogo na kunakuwa na Ulinzi na panaheshimika. Nilibahatika kukutana na mama mmoja alifanya kazi za Kidplomasia, alifika Tanzania miaka ya themanini. Walihitajika kuonana na Rais Nyerere wakati huo. Nyerere aliwaita kwake Masasani. Wakafanya maongezi wakaondoka. Walikuwa na ujumbe toka kwa kiongozi wa nchi yao. Huyu mama sasa anamiaka 85 anaishi kwao Ulaya. Nilionana nae na alifurahi kusikia natoka Tanzania. Nilibahatika kuishi eneo karibu na Butiama. Nakumbuka Mwl Nyerere alikwenda mara kwa mara Butiama, na alifanya shughuli za nchi akiwa huko. Marais kadhaa toka nchi za nje walimtembelea Butiama. Nakumbuka Samora Machel alikaa Butiama siku tatu yeye na mke wake. Yusuph Lule wa Uganda. Obote pia. Hawa niliwaona kwa macho yangu na nilishiriki ktk mapokezi nikiwa chipkiz. Hata wakati Rais wa Zanzibar Abdul Jumbe alivyovurunda. Alifika Butiama alikoitwa na Nyerere na baada ya kuondoka siku chache alitangazwa si Rais tena wa Zanzibar. Nakumbuka nilimuona akiwa na mawazo sana. Na siku hiyo aliposhuka airport ya Musoma hakuwa na muda wa kusalimia Kamati ya Ulinzi na Usalama kama ilivyokawaida alipokelewa na mkuu wa mkoa akaingia ktk gari huyoo Butiama. Nilishangaa japo nilikuwa mdogo baada ya kuona si kawaida kunajambo.
Hivyo Rais anapokuwa aweza fanya shughuli zozote zile. Tuwe tunarejea historia ya nchi na kujifunza taratibu mbalimbali za kiinchi na pia kujua protokali za kiuongozi. Mamlaka ya Rais ni kubwa. Nakumbuka Nilishangaa hata hotuba ya Mhe. Mbowe alipomshangaa Rais kutoa hotuba akiwa na wakuu wa vyombo vya Usalama. Yeye akadai Rais angekuwa na madaktari. Ijulikane kuwa ile ni Kamati kuu ya Ulinzi na Usalama Taifa. Rais anapokea taarifa toka kwa wataalamu na wataalamu uweza kuwasilisha ushauri wao tu. Uhitaji kuwaona wakiwa na Rais anapoongea na Taifa. Zaidi utaona ile Kamati ya Ulinzi. Wale wapo kimamlaka. Shida watu wengi tunadhani kuendesha nchi ni kama kuendesha biashara au Saccos.
 
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndungulile.


2401425_20200516_21060062162.jpg
yeye nafasi yake ndo mkurugenzi wa mawasiliano ikulu ila ameandika akiwa chato, hujaelewa nini hapo?
 
Huyu jamaa anatupa wakati mgumu sana sisi watetezi wake..

Ukitetea bila kujua unatetea nini ni upumbavu tu, kuna hoja kama ya mleta uzi ni hoja unayotakiwa kuiona na kukaa kimya kwa sababu ni ya kijinga, msigwa ni mtumishi wa ikulu, popote afanyapo kazi za ikulu atazitaatifu kama ikulu sasa walitaka aseme mawasilianao ya chattle Wakati hajaajiliwa na chattle? Kwa hiyo ukikuta mbunge wa arusha anazungumzia hoja ya ziwa victoria basi aseme yeye ni mbunge wa musoma? Tumieni vichwa vizuri.
 
Literacy tanzania inasumbua.. 40% ya watanzania hata kama mmesoma lakini jo kama hamjasoma
Alipo Rais na ofisi yake ipo hapo aweza idhinisha chochote au toa tamko au teua nk mentality ya kudhani ofisi ya Rais ni jengo lililo mahali Fulani sio sahihi
 
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.


2401425_20200516_21060062162.jpg
Nafikiri huyu bwana basi abakie huko aliko tutafute mwingine akae chamwino.
 
Nimesoma barua ya uteuzi wa Naibu waziri wa afya,naona msemaji wa Ikulu ameandika akiwa Ikulu chato,nikajiuliza maswali mengi mojawapo ikiwa ni:- Kama imechukua muda mfupi kuhamia Ikulu ya chato,nini kinatufanya tushindwe kwa miaka kadhaa kuhamia Ikulu ya Dodoma?

Suala la kuhamia Dodoma limekuwa la kubeep beep tu lakini kwenda chato imekuwa ni la haraka sana,lini yalifanyika maandalizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukipata rais mzaliwa wa Dodoma huu wimbo wa Dodoma makao makuu utaisha.
 
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
Hujui fasihi wewe wala uandishi
Barua inaonesha wazi cheo,na pahali iliposainiwa
 
Back
Top Bottom