Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading!
Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
Hukumuelewa ndugu. Chato ni mahali tu barua ilipoandikiwa. Lakini neno IKULU ni muendelezo wa cheo chake yaani MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAISI, IKULU.
Mbona hiyo barua haina tatizo. Muandishi amewka jina lake alafu akaweka cheo chake alafu akamaliza na mahali alipoandika hiyo barua ambapo ni Chato alafu tarehe.
Haina maana kwamba Chato ni Ikulu jamani hizi kata....