Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

Uwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopo Morocco wenye kuchukua idadi ya Mashabiki 69500 umeigharimu serikali ya Morocco kiasi cha Usd M 75 ambazo ni sawa na Tsh Bilioni 183

fanya!

Dah mkuu umeongea kwa uchungu sana, nimeenda kuverify huo uwanja wa Morocco ni kweli ni usd 75m. TZ inatafunwa kama mwanamke Malaya! By the way na mashida yote tuko Nazo tusingeomba kuhost mashindano
Mimi pia imenibidi nifanye ufuatiliaji. Ni kweli utofauti aliousema mdau ni mkubwa mno tena ukilinganisha na uwezo wa uwanja. Kuna mahali tunafeli sana na ni kiashiria kikubwa sana cha watu kukosa uzalendo
 
Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"

Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338


Maoni ya Mdau;
Dah kutetea ujinga huu kwa dunia hii ya sasa ni jambo gumu sana
 
Mimi naona kuanzishwe Postgraduate diploma ya ufisadi hii nchi yetu ili ufisadi utambulike kisheria.

Inaweza ikatoa almost equal chance ya kila mtu kuwa fisadi angalau 'distribution of ufisadi ' itakuwa almost equal kwenye jamii,angalau katika kila watu 100 wa jamii moja kunakuwa na fisadi mmoja ambaye matumizi ya pesa alizoiba zinatumika within her/ his territories.

Curriculum ya ufisadi tunaweza ijadili.
 
Mhe. Msigwa pamoja na utetezi unaotoa, ukubali kwamba kwenye hiyo Kandarasi mmezidisha teni pasenti

Unaposema kulikuwa na maelekezo mengine ya CAF kuboresha hiki ama kile, huwa kwenye BoQ zote huwa kunatengwa fedha za dharula (Contingency) ambayo huwa ni asilimia 10 ya gharama za ujenzi

Kama mradi ulikuwa na gharama ya bilioni 183, basi contingency ilipaswa iwe bilioni 18.3

Kwahiyo kama kungekuwa na mahitaji mengine ya kazi ambayo yangeongezeka basi yalipaswa yafidiwe na hiyo bilioni 18.3, sasa nyie mmeongeza gharama zaidi ya bilioni 120 🙌

Anyways, sisi tumeshazeeka, ila hiki mnachofanya mjue mna panda mbegu ya wizi na ubadhirifu mkubwa kwa Viongozi wajao kwamba kuwa Kiongozi ni kuwa mwizi na fisadi

Au kwa vile Mama alisema mle kwa urefu wa kamba zenu
 
Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"

Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338


Maoni ya Mdau;
Ni kwanini katika wizi wooooote alioutaja CAG, hiki kiwanja kimewauma zaidi? Hawa jamaa ni majizi kuliko fisi na panya. MaCCM ni majizi sana. Nchi haitakaa ipate maendeleo chini ya utawala wa miCCM. Majizi wakubwa!
 
WE jiulize tu, toka lini report ya CAG ikatolewa ufafanuzi? Msigwa alikua wapi wakati ukaguzi unafanyika? Kama anaitokea ufafanuzi ina maana CAG kakosea?! Basi repoti yote ina mapungufu na haikutakiwa kutoka. Hii nchi ina mambo yakipumbafu sana.
Nchi inayotawaliwa na kundi la fisi (a troop of hyenas) haitakaa ipate maendeleo hata kidogo. Haya majizi yameiba pesa zaidi ya nusu ya gharama halisi za kiwanja, halafu yanakuja hapa kutoa ufafanuzi wa kiquma kufunika ufisadi wao. Inauma na inahudhunisha sana!

Na unaambiwa wasimamizi wa ujenzi wa bwawa la Nyerere wamepiga pesa hadi wamejenga maghorofa! Hii nchi inaliwa sana na haya majizi. Tusipobadilisha utawala kwa nguvu, tutaendelea kuibiwa hadi Yesu atakaporudi.
 
Asee... Kwani nini maana ya project management... Mbona hiki kipengele sijakisoma pale MWECAU ... KUHUSIANA na hii hoja ya Msigwa kuhusiana na hoja yake?
Huyu jamaa ni mwehu na ametumwa na wehu wenzake kuja kuongea mbele ya watu wenye akili timamu. Ni bora tu angekaa kimya badala ya kuamsha hasira za wadanganyika.
 
Tuliokua miaka ya utawala wa Nyerere tulikua tunaamini watangazaji ni watu wenye akili sana aisee, ilikuwa ukisikiliza RTD unawasikia akina Juma Ngondae, Mikidadi Mahamudu, Jacob Tesha, Sara Gumbo, na wengine basi sekondarini kule unajua hili jamaa bonge la mtu smart sana, na hasa wanapokuwa kwnye misafara ya wakubwa tulipokuwa mikoani kule dah! Baadaye zimekuja Tv na radio binafsi na kukua ndio tunakuja kujua uhalisia!

Then wasomi ukisikia Prof, Mkufunzi, Doktori, unapata hamasa sana ukijua akili zimelala sawasawa, then unakuja kujua Jumanne Magembe naye ni Prof na yule mzee Kapuya halafu unaona kbs bora mzazi wangu kule kijijini hajui kusoma lakini anasimamia mambo yake sawasawa na familia za watoto 15 zinakua salama na wanasoma shule tena wote wanakua watu wazima! Halafu ikaja generation mpya ya waandishi na watangazaji chawa na wakawa wanapewa madaraka sasa ya Udc, uRC then taratibu tukaanza kuona na wakurugenzi hatimaye na makatibu wakuu sasa rasmi kukawa na dilution kubwa ya utendaji serikalini, imekuwa kama familia ya mamaduro

Just thinking:WeirdCoffee:
CCM ni ukoo wa panya. Kila mtu ni mwizi. Babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, kitukuu mwizi, kilembwe mwizi, na kilembwekile mwizi.
 
Back
Top Bottom