Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

Mimi naona kuanzishwe Postgraduate diploma ya ufisadi hii nchi yetu ili ufisadi utambulike kisheria.

Inaweza ikatoa almost equal chance ya kila mtu kuwa fisadi angalau 'distribution of ufisadi ' itakuwa almost equal kwenye jamii,angalau katika kila watu 100 wa jamii moja kunakuwa na fisadi mmoja ambaye matumizi ya pesa alizoiba zinatumika within her/ his territories.

Curriculum ya ufisadi tunaweza ijadili.
Ni kweli kabisa Profesa Kishimba. Nashauri wazo hili lifanyiwe kazi ili tuwe na mafisadi wengi nchini kuliko kuwa na mafisadi wachache wanaowasumbua mamilioni ya raia waadilifu.
 
Mimi naona kuanzishwe Postgraduate diploma ya ufisadi hii nchi yetu ili ufisadi utambulike kisheria.

Inaweza ikatoa almost equal chance ya kila mtu kuwa fisadi angalau 'distribution of ufisadi ' itakuwa almost equal kwenye jamii,angalau katika kila watu 100 wa jamii moja kunakuwa na fisadi mmoja ambaye matumizi ya pesa alizoiba zinatumika within her/ his territories.

Curriculum ya ufisadi tunaweza ijadili.
Zitumike hapa hapa ndani na ijulikane kafanya nini. Official declaration fisadi fulani bin flan kajenga hospital, shule n.k
 
Asee... Kwani nini maana ya project management... Mbona hiki kipengele sijakisoma pale MWECAU ... KUHUSIANA na hii hoja ya Msigwa kuhusiana na hoja yake?
ndiyo umjibu sasa
 
variation kwenye mambo ya ujenzi ni kawaida,
 
Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"

Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338


Maoni ya Mdau;
Hapa a, ni wizi tu ulifanyika, kama ni hivyo mbona kwenye makabrasha yanayohusu ujenzi hivyo vitu havimo. Msigwa sisi pia unazo akili japo hatupo kwenye hiyo nafasi uliyopewa.
 
Huyu msigwa ni mpigaji
Tusitafute mchawi
 
Gentleman,
ni wazi unahangaishwa na uelewa wako mdogo juu ya mambo ya gharama za ujenzi,
hata hivyo,
tupo tayari kukusaidia kuongeza ufahamu juu ya mamabo haya muhimu ndio usipotoshwe na maofa wa mambo haya, right?
wewe ni mjinga sana, hivi wewe kwa akili hizi unaweza hata kuvuka barabara kweli?
 
Alitakiwa Kukamatwa Haraka Sana Na Kitupwa Ndani
 
wewe ni mjinga sana, hivi wewe kwa akili hizi unaweza hata kuvuka barabara kweli?
mjanja tuliza mihemko nonsense basi,
jikite kwenye hoja mojakwamoja ikiwa unayo maoni au mawazo mapya na bora zaid ya niliyoyaeleza kwa faida ya wadau wa JF,

huna haja ya kumbwelambwela na kujipika kifua na akili za mihemko na makasiriko, hali ya kua uko pure empty head
 
Back
Top Bottom