tatzo lililopo ni kubwa kuliko majibu rahisi wanayokuja nayo. Black race is a curseDah kutetea ujinga huu kwa dunia hii ya sasa ni jambo gumu sana
Yamebadilika vitu vimepanda bei ,shilingi imeporomoka dhidi ya Dola .piga nyetwo ujinga ukutokeUwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopo Morocco wenye kuchukua idadi ya Mashabiki 69500 umeigharimu serikali ya Morocco kiasi cha Usd M 75 ambazo ni sawa na Tsh Bilioni 183
Tulioshuhudia ule uwanja wakati wa Afcon ulikuwa ni uwanja ambao ulitumika siku ya Ufunguzi wa Michuano ya Afcon kati ya Mwenyeji Morocco na Comoro!
Ule uwanja standard ya dunia,na bahati nzuri siku wanacheza Morocco na Comoro mvua ilikuwa ikinyesha lakini hakukuwa na tone la maji lilionekana uwanjani!,Ni moja ya kiwanja ambacho kitatumika pia kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2030!
Leo wanajenga uwanja wenye uwezo wa kubeba watu elfu 30 tu yanakuja kutuambia gharama ni Bilioni 330 yaani ni mara mbili ya gharama zilizotumika kwenye uwanja bora kabisa duniani kwa sasa uwanja wa Prince Moulay Abdellah!
Mbaya zaidi,Yamepiga pesa zote hizo na bado huo uwanja haujakamilika, Ni juzi tu hapa yalikuwa yanaomba msaada china ya kukamilishwa kwa uwanja huo, Maana yake ni kwamba, Pesa yamekula na uwanja haujakamilika!
Ni mtu Mjinga na asiyekuwa na akili timamu tu ambaye anaweza kuambiwa huo uwanja wenye kubeba watu elfu 30 tu unaigharimu serikali Zaidi ya Bilioni 300,Ni tahira pekee ndiye anaweza kuamini huu ujinga!
Mhe. Msigwa pamoja na utetezi unaotoa, ukubali kwamba kwenye hiyo Kandarasi mmezidisha teni pasenti
Unaposema kulikuwa na maelekezo mengine ya CAF kuboresha hiki ama kile, huwa kwenye BoQ zote huwa kunatengwa fedha za dharula (Contingency) ambayo huwa ni asilimia 10 ya gharama za ujenzi
Kama mradi ulikuwa na gharama ya bilioni 183, basi contingency ilipaswa iwe bilioni 18.3
Kwahiyo kama kungekuwa na mahitaji mengine ya kazi ambayo yangeongezeka basi yalipaswa yafidiwe na hiyo bilioni 18.3, sasa nyie mmeongeza gharama zaidi ya bilioni 120
😂😂😂😂😂Hii ndiokoment iliyoandikwa kwa masikitiko makubwa tokea report isomwe😂Mhe. Msigwa pamoja na utetezi unaotoa, ukubali kwamba kwenye hiyo Kandarasi mmezidisha teni pasenti
Unaposema kulikuwa na maelekezo mengine ya CAF kuboresha hiki ama kile, huwa kwenye BoQ zote huwa kunatengwa fedha za dharula (Contingency) ambayo huwa ni asilimia 10 ya gharama za ujenzi
Kama mradi ulikuwa na gharama ya bilioni 183, basi contingency ilipaswa iwe bilioni 18.3
Kwahiyo kama kungekuwa na mahitaji mengine ya kazi ambayo yangeongezeka basi yalipaswa yafidiwe na hiyo bilioni 18.3, sasa nyie mmeongeza gharama zaidi ya bilioni 120 🙌
Anyways, sisi tumeshazeeka, ila hiki mnachofanya mjue mna panda mbegu ya wizi na ubadhirifu mkubwa kwa Viongozi wajao kwamba kuwa Kiongozi ni kuwa mwizi na fisadi
Au kwa vile Mama alisema mle kwa urefu wa kamba zenu
Dah mkuu GT acha kutupiga fix. Umezeeka na miaka 49?Mhe. Msigwa pamoja na utetezi unaotoa, ukubali kwamba kwenye hiyo Kandarasi mmezidisha teni pasenti
Unaposema kulikuwa na maelekezo mengine ya CAF kuboresha hiki ama kile, huwa kwenye BoQ zote huwa kunatengwa fedha za dharula (Contingency) ambayo huwa ni asilimia 10 ya gharama za ujenzi
Kama mradi ulikuwa na gharama ya bilioni 183, basi contingency ilipaswa iwe bilioni 18.3
Kwahiyo kama kungekuwa na mahitaji mengine ya kazi ambayo yangeongezeka basi yalipaswa yafidiwe na hiyo bilioni 18.3, sasa nyie mmeongeza gharama zaidi ya bilioni 120 🙌
Anyways, sisi tumeshazeeka, ila hiki mnachofanya mjue mna panda mbegu ya wizi na ubadhirifu mkubwa kwa Viongozi wajao kwamba kuwa Kiongozi ni kuwa mwizi na fisadi
Au kwa vile Mama alisema mle kwa urefu wa kamba zenu
Tuliokua miaka ya utawala wa Nyerere tulikua tunaamini watangazaji ni watu wenye akili sana aisee, ilikuwa ukisikiliza RTD unawasikia akina Juma Ngondae, Mikidadi Mahamudu, Jacob Tesha, Sara Dumba Charles Hilary, na wengine basi sekondarini kule unajua hili jamaa bonge la mtu smart sana, na hasa wanapokuwa kwnye misafara ya wakubwa tulipokuwa mikoani kule dah! Baadaye zimekuja Tv na radio binafsi na kukua ndio tunakuja kujua uhalisia!
Then wasomi ukisikia Prof, Mkufunzi, Doktori, unapata hamasa sana ukijua akili zimelala sawasawa, then unakuja kujua Jumanne Magembe naye ni Prof na yule mzee Kapuya halafu unaona kbs bora mzazi wangu kule kijijini hajui kusoma lakini anasimamia mambo yake sawasawa na familia za watoto 15 zinakua salama na wanasoma shule tena wote wanakua watu wazima! Halafu ikaja generation mpya ya waandishi na watangazaji chawa na wakawa wanapewa madaraka sasa ya Udc, uRC then taratibu tukaanza kuona na wakurugenzi hatimaye na makatibu wakuu sasa rasmi kukawa na dilution kubwa ya utendaji serikalini, imekuwa kama familia ya mamaduro
Just thinking![]()
Sio Lucas mwashamba au Lucas Mwashambwa tu anayeshabikia wizi. Wapo wengi akina Tlaatlaah , ChoiceVariable , Ritz , MamaSamia2025 na wapuuzi wengine.Nchi inaongozwa na Bumunda, wacha watu wajilie! Likija hapa li Lucas Mwashambwa ni kivumbi na majasho!
Hiyo ipo sawa mkuu. Lazima ukoleze dozi kwa wezi ili wakuelewe.Mada umeichambua vizuri ila paragraph ya mwisho haijapendeza, better hiyo paragraph ukaifuta.
Hiyo nyeto nitaipiga matakoni mwa mama yako Punguani wewe!Maisha
Yamebadilika vitu vimepanda bei ,shilingi imeporomoka dhidi ya Dola .piga nyetwo ujinga ukutoke
Dah! Hii nchi inasikitisha sana.Uwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopo Morocco wenye kuchukua idadi ya Mashabiki 69500 umeigharimu serikali ya Morocco kiasi cha Usd M 75 ambazo ni sawa na Tsh Bilioni 183
Tulioshuhudia ule uwanja wakati wa Afcon ulikuwa ni uwanja ambao ulitumika siku ya Ufunguzi wa Michuano ya Afcon kati ya Mwenyeji Morocco na Comoro!
Ule uwanja standard ya dunia,na bahati nzuri siku wanacheza Morocco na Comoro mvua ilikuwa ikinyesha lakini hakukuwa na tone la maji lilionekana uwanjani!,Ni moja ya kiwanja ambacho kitatumika pia kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2030!
Leo wanajenga uwanja wenye uwezo wa kubeba watu elfu 30 tu yanakuja kutuambia gharama ni Bilioni 330 yaani ni mara mbili ya gharama zilizotumika kwenye uwanja bora kabisa duniani kwa sasa uwanja wa Prince Moulay Abdellah!
Mbaya zaidi,Yamepiga pesa zote hizo na bado huo uwanja haujakamilika, Ni juzi tu hapa yalikuwa yanaomba msaada china ya kukamilishwa kwa uwanja huo, Maana yake ni kwamba, Pesa yamekula na uwanja haujakamilika!
Ni mtu Mjinga na asiyekuwa na akili timamu tu ambaye anaweza kuambiwa huo uwanja wenye kubeba watu elfu 30 tu unaigharimu serikali Zaidi ya Bilioni 300,Ni tahira pekee ndiye anaweza kuamini huu ujinga!
CCM is a gang of notorious thieves.Takataka kabisa