Uwanja wa Prince Moulay Abdellah uliopo Morocco wenye kuchukua idadi ya Mashabiki 69500 umeigharimu serikali ya Morocco kiasi cha Usd M 75 ambazo ni sawa na Tsh Bilioni 183
fanya!
Mimi pia imenibidi nifanye ufuatiliaji. Ni kweli utofauti aliousema mdau ni mkubwa mno tena ukilinganisha na uwezo wa uwanja. Kuna mahali tunafeli sana na ni kiashiria kikubwa sana cha watu kukosa uzalendoDah mkuu umeongea kwa uchungu sana, nimeenda kuverify huo uwanja wa Morocco ni kweli ni usd 75m. TZ inatafunwa kama mwanamke Malaya! By the way na mashida yote tuko Nazo tusingeomba kuhost mashindano
Dah kutetea ujinga huu kwa dunia hii ya sasa ni jambo gumu sanaBaada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"
Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
Maoni ya Mdau;
Kwamba ni chupa na mfunikoBlack with darkness
Sema MOCU bhanaAsee... Kwani nini maana ya project management... Mbona hiki kipengele sijakisoma pale MWECAU ... KUHUSIANA na hii hoja ya Msigwa kuhusiana na hoja yake?
We jiulize tu, toka lini report ya CAG ikatolewa ufafanuzi? Msigwa alikua wapi wakati ukaguzi unafanyika? Kama anaitolea ufafanuzi ina maana CAG kakosea?! Basi repoti yote ina mapungufu na haikutakiwa kutoka. Hii nchi ina mambo yakipumbafu sana.Hadi CAG awaumbue ndo watoe maelezo?
Ni kwanini katika wizi wooooote alioutaja CAG, hiki kiwanja kimewauma zaidi? Hawa jamaa ni majizi kuliko fisi na panya. MaCCM ni majizi sana. Nchi haitakaa ipate maendeleo chini ya utawala wa miCCM. Majizi wakubwa!Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"
Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
Maoni ya Mdau;
Nchi inayotawaliwa na kundi la fisi (a troop of hyenas) haitakaa ipate maendeleo hata kidogo. Haya majizi yameiba pesa zaidi ya nusu ya gharama halisi za kiwanja, halafu yanakuja hapa kutoa ufafanuzi wa kiquma kufunika ufisadi wao. Inauma na inahudhunisha sana!WE jiulize tu, toka lini report ya CAG ikatolewa ufafanuzi? Msigwa alikua wapi wakati ukaguzi unafanyika? Kama anaitokea ufafanuzi ina maana CAG kakosea?! Basi repoti yote ina mapungufu na haikutakiwa kutoka. Hii nchi ina mambo yakipumbafu sana.
Huyu jamaa ni mwehu na ametumwa na wehu wenzake kuja kuongea mbele ya watu wenye akili timamu. Ni bora tu angekaa kimya badala ya kuamsha hasira za wadanganyika.Asee... Kwani nini maana ya project management... Mbona hiki kipengele sijakisoma pale MWECAU ... KUHUSIANA na hii hoja ya Msigwa kuhusiana na hoja yake?
CCM ni ukoo wa panya. Kila mtu ni mwizi. Babu mwizi, baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi, kitukuu mwizi, kilembwe mwizi, na kilembwekile mwizi.Tuliokua miaka ya utawala wa Nyerere tulikua tunaamini watangazaji ni watu wenye akili sana aisee, ilikuwa ukisikiliza RTD unawasikia akina Juma Ngondae, Mikidadi Mahamudu, Jacob Tesha, Sara Gumbo, na wengine basi sekondarini kule unajua hili jamaa bonge la mtu smart sana, na hasa wanapokuwa kwnye misafara ya wakubwa tulipokuwa mikoani kule dah! Baadaye zimekuja Tv na radio binafsi na kukua ndio tunakuja kujua uhalisia!
Then wasomi ukisikia Prof, Mkufunzi, Doktori, unapata hamasa sana ukijua akili zimelala sawasawa, then unakuja kujua Jumanne Magembe naye ni Prof na yule mzee Kapuya halafu unaona kbs bora mzazi wangu kule kijijini hajui kusoma lakini anasimamia mambo yake sawasawa na familia za watoto 15 zinakua salama na wanasoma shule tena wote wanakua watu wazima! Halafu ikaja generation mpya ya waandishi na watangazaji chawa na wakawa wanapewa madaraka sasa ya Udc, uRC then taratibu tukaanza kuona na wakurugenzi hatimaye na makatibu wakuu sasa rasmi kukawa na dilution kubwa ya utendaji serikalini, imekuwa kama familia ya mamaduro
Just thinking