Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

Vitu vya kuongezewa ndo iongezeke mara mbili ya gharama za mwanzo?

Viongozi wa hii nchi ni laana kutoka kwa Mwenyezi Mungu mwnyw.
 
Report hata bungeni haijafika ameanza kupiga porojo

By the way, kama yeye majibu anayo, mbona CAG hakupewa? Au CAG ni mbumbumbu?
 
Maisha
Yamebadilika vitu vimepanda bei ,shilingi imeporomoka dhidi ya Dola .piga nyetwo ujinga ukutoke
 
 
Ukitaka kumjua ni mwongo na mwizi anasema walichagua single source sababu ya dharula lakini baadae anajichanganya anasema baada ya Tanzania kuchaguliwa mwenyeji wa AFCON ilibidi wabadilishe plan wajenge uwanja utakaokidhi vigezo vya CAF.
Sasa hiyo dharula ya singe source ilitokea wapi, wanawadharau watu wa PPRa na kujiona wao ni wajuaji zaidi.
 
😂😂😂😂😂Hii ndiokoment iliyoandikwa kwa masikitiko makubwa tokea report isomwe😂
 
Kama awali mlikua mnajenga kiwanja kipya miaka hii ambacho hakina standard za Caf mpaka mkaja mkaongeza tena vitu baada ya kuambiwa
Basi kuanzi mwanzo kulikua kuna ujinga kwenye hiyo project
 
Dah mkuu GT acha kutupiga fix. Umezeeka na miaka 49?
 

Tatizo ni kujifungamanisha na CCM, lazima uache akili kabatini...
 
Dah! Hii nchi inasikitisha sana.
 
Msigwa anaemjibu hapo sijui ni nani maana CAG kaongea madudu yeye anakuja kusema viwango vya CAF wakati viwanja vyote vinajengwa kwa viwango vya FIFA ina maana walivyokua wanaanza kujenga wao walikua wanajenga kwa kiwango cha nini mbona ni kama kajichanganya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…