Ni kweli kabisa Profesa Kishimba. Nashauri wazo hili lifanyiwe kazi ili tuwe na mafisadi wengi nchini kuliko kuwa na mafisadi wachache wanaowasumbua mamilioni ya raia waadilifu.Mimi naona kuanzishwe Postgraduate diploma ya ufisadi hii nchi yetu ili ufisadi utambulike kisheria.
Inaweza ikatoa almost equal chance ya kila mtu kuwa fisadi angalau 'distribution of ufisadi ' itakuwa almost equal kwenye jamii,angalau katika kila watu 100 wa jamii moja kunakuwa na fisadi mmoja ambaye matumizi ya pesa alizoiba zinatumika within her/ his territories.
Curriculum ya ufisadi tunaweza ijadili.
Zitumike hapa hapa ndani na ijulikane kafanya nini. Official declaration fisadi fulani bin flan kajenga hospital, shule n.kMimi naona kuanzishwe Postgraduate diploma ya ufisadi hii nchi yetu ili ufisadi utambulike kisheria.
Inaweza ikatoa almost equal chance ya kila mtu kuwa fisadi angalau 'distribution of ufisadi ' itakuwa almost equal kwenye jamii,angalau katika kila watu 100 wa jamii moja kunakuwa na fisadi mmoja ambaye matumizi ya pesa alizoiba zinatumika within her/ his territories.
Curriculum ya ufisadi tunaweza ijadili.
Afute kwanini.! hiyo ndiyo nukta kubwaMada umeichambua vizuri ila paragraph ya mwisho haijapendeza, better hiyo paragraph ukaifuta.
Gentleman,Sio Lucas mwashamba au Lucas Mwashambwa tu anayeshabikia wizi. Wapo wengi akina Tlaatlaah , ChoiceVariable , Ritz , MamaSamia2025 na wapuuzi wengine.
ndiyo umjibu sasaAsee... Kwani nini maana ya project management... Mbona hiki kipengele sijakisoma pale MWECAU ... KUHUSIANA na hii hoja ya Msigwa kuhusiana na hoja yake?
Mkuu tayari nimekula chumvi nyingi ujue 🤗Dah mkuu GT acha kutupiga fix. Umezeeka na miaka 49?
Hapa a, ni wizi tu ulifanyika, kama ni hivyo mbona kwenye makabrasha yanayohusu ujenzi hivyo vitu havimo. Msigwa sisi pia unazo akili japo hatupo kwenye hiyo nafasi uliyopewa.Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 hatimaye Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema "Ongezeka au kupungua kwa gharama za miradi ni utaratibu wa kawaida"
Ripoti ya CAG kuhusu Uwanja: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
Maoni ya Mdau;
Iweje hayamo kwenye makabrasha ya ujenzi au manunuzi ya ziada, usitetee uhalifu.variation kwenye mambo ya ujenzi ni kawaida,
wewe ni mjinga sana, hivi wewe kwa akili hizi unaweza hata kuvuka barabara kweli?Gentleman,
ni wazi unahangaishwa na uelewa wako mdogo juu ya mambo ya gharama za ujenzi,
hata hivyo,
tupo tayari kukusaidia kuongeza ufahamu juu ya mamabo haya muhimu ndio usipotoshwe na maofa wa mambo haya, right?
mjanja tuliza mihemko nonsense basi,wewe ni mjinga sana, hivi wewe kwa akili hizi unaweza hata kuvuka barabara kweli?