Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Du!... Msigwa hadi umri unaonekana kusonga mbele miaka hii mitano tu, hata hivyo hakuna namna...No reforms No election mwaka huu.
 
Yeye hajui maumivu ana haki
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Wewe kinembe mbona unapenda kuniquote kama roboti?

Sasa tutaona kama kutakuwa na huo uchaguzi hiyo October.
Najitahidi kukuondolea ujinga na upumbavu, lakini naona kwako uko kwenye damu
 
Una akili timamu?
 
Wanaposema kumaliza kipato Kwa kutumika bando ,mbona uwa wanapost mitandaoni Ili nani aone?
No reform no election
 
Wewe mdini sana, kafiri mwenyewe tena wewe ni lile limjusi kafiri. Hao waislamu pia mimi ni ndugu zangu. Nina ndugu waislamu. Nilikuwa nawatetea Wapalestina sababu napenda haki, ila wewe ni udini tu huna ubinadamu.

Mu'min wa kweli hawezi kumtukana Muislam mwenzie na hata asiekua muislam pia ni dhambi kumtukana.

Umeniita kafir, je unajua maana ya kumuita nduguyo kaafir? Wewe kama mu'min wa kweli!

Free palestine 🇵🇸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…