Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Kumbe wewe mpumbavu umekuja kuhubiri dini! Sasa yule Mwislamu mwenzako Mzee Kibao alikukosea nini mpaka ukaamua kumuua!?

"Hakika baadhi ya dhana ni dhambi"

Kwanini uamini ccm ndio wamehusika kufanya huo ukatili na sio chama pinzani? Why udhanie wakati huna uhakika!
 
Mu'min wa kweli hawezi kumtukana Muislam mwenzie na hata asiekua muislam pia ni dhambi kumtukana.

Umeniita kafir, je unajua maana ya kumuita nduguyo kaafir? Wewe kama mu'min wa kweli!

Free palestine 🇵🇸
Wewe zimua kwanza na bierrr akili ikawe sawa. Wewe si ndiyo umeniita kafiri? Nikakujibu kafiri mwenyewe. Sasa kosa langu ni nini? 😅😅😅😅
 
We bwege kweli eti watanzania wengi waislamu google utapata jibu sio unaropoka tu humu No reform No election

Nchi inaendeshwa kwa mfumo kristo unategemea wataweka majibu sahihi! Ukweli utabakia ukweli
 
NAona bado una kiu ya kunywa damu ya mtu! Damu ya Mzee Kibao haikutosha kukata kiu yako!?
Allah amrehem mzee wetu, ila sinaga tabia ya kumdhania mtu.

Aliehusika na mauwaji hayo malipo atayakuta kwa Mola wake.
 
Kwahiyo Wananchi ni wapuuzi si ndio maana yake. Hiki ni kiburi kilichovuka mipaka. Endeleeni nasema endeleeni endeleeni
 
Baada ya hii tunaanza waozomea tukiwaona tu tunaanza kuzomea boo booo boooo
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
 
Anatuita wapuuzi tunaotaka mabadiliko siyo?

Sasa tutaona hiyo October kama Kuna mtu ataenda kupiga kura zaidi yao na kupe/machawa wao.
Sio wapuuzi tu tena ni 'HAYAWAN EL KUBRA' Halafu uchaguzi ukifanyika na viongozi wakapatikana mtatuambia nini ?
 
Reactions: Tui
NO REFORMS NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…