Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Hawa wamemsaidia Mh Rais SSH ku control chain reaction. Watu wangemuona Mama ni wamaumuzi ya kitonga na mkurupuko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama akutane na magwiji kina Ellen Sirleaf mapema wampe maujuzi. inaonekana kuna watu wanamuendesha kwa rimoti.Mnajuaje kama walimuuliza na kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi?
Kuna huyu wa kanisa la ufufuo na uzima serikali imfuatilie nyendo zake za sirinilabda tuanze kumuita Amirat Mkuu ndo watu wataheshimu amri zake.
Nina uhakika hawajamuuliza Abbas ndo kaja na iyo definition unataka Rais akupe maagizo specific ..? Rais hutoa general wewe mwenye wizara tekeleza ku meet vizion yakeMnajuaje kama walimuuliza na kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi?
Jitahidi ufanye tafiti vizuri utajua zaidi ni nini kimetokeaMtoa uzi kimsingi bado sijakuelewa, unapaswa kufafanua vizuri na kuweka wazi ni kitu gani alikisema huyo kigogo wa wizara
Huyu msela SIRINI ana boksa na mapu..u na bo..o TU.Kuna huyu wa kanisa la ufufuo na uzima serikali imfuatilie nyendo zake za sirini
Maza hajazingua ni hivi kuna watu wanajion untouchable wanajifanya hakuna mtu wa kuwatangazia kitu hata Rais ati awaweziMAMA SSH KAZINGUA,
SOON ANAENDA KUTUUZA WATANZANIA
Hahahalabda tuanze kumuita Amirat Mkuu ndo watu wataheshimu amri zake.
She is very Smart than what they thinkHawa wamemsaidia Mh Rais SSH ku control chain reaction. Watu wangemuona Mama ni wamaumuzi ya kitonga na mkurupuko.
Hawa nyumbu wanashangilia kama kasuku, wasubiri pigo jingine kwenye kodi.Hakuna mtu anabambikizwa kodi bali ni sheria. Msitegemee nafuu ya kodi ni bora mfunge biashara zenu kuliko kurudi tulikotoka. MAMA YETU ataeleweshwa tu na ataona mantiki na kodi itakusanywa kama kwa. Hakuna nchi duniani inayoendeshwa bila kukusanya kodi.PoleniWamemshauri mama atakuwa anavunja sheria sasa apeleke sheria bungeni warekebishe
She is very Smart than what they think
Chadema yenye uwezo wa kusimamia mambo yake aliondoka nayo dr slaa, hii ya sasa hakuna lolote, ni bendera fuata upepo tu.Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.
Madam President Samia,mbona watu wako hawaelewi wanachokisema.Ulizungumza kwa kiswahili fasaha na sanifu kuwa vyombo vya habari vilivyofungiwa ,vifunguliwe ili mradi tu wafuate sheria.ukatoa mfano (online) viTv vya mitandaoni.Lakini neno Vyombo vya habari vinajumlisha magazeti,redio,mitandao ya kijamii kama twitter n.k,ViTv vya mitandaoni etc.Sasa huyu ndugu yetu anasema ni online Tv tu.Kwa taarifa yake Mr Msigwa hivi vji Tv (online) ni hatari sana kwa jamii wakiwemo watoto kama hamutokuwa makini.Magazeti.Redio,TV sana sana watu waangalia taarifa za habari,Michezo ya kuigiza,Mipira n.k Magazeti ndio kabisa hayanunuliwi.Bado hujafafanua.Wamiliki wa magazeti wataweka mitandaoni magazeti yao kwa watu kulipia (subscribe) na watasoma.Jamani hii dunia ya sasa ni kijiji tu.Tafadhali Mr Msigwa ungerudi tena kupata ufafanuzi.Madam President anataka kuwepo na uhuru wa vyombo vya habari.Upuuzi wote wa wasioitakia mema nchi yetu utakwisha kabisa.UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Mheshimiwa Rais apewe tu heshima yake anayostahili na tutafute njia mbadala za kudili na frustations zetu binafsi.Mama akutane na magwiji kina Ellen Sirleaf mapema wampe maujuzi. inaonekana kuna watu wanamuendesha kwa rimoti.
yupo pale kwa mujibu wa Katiba, siyo kwa mujibu wa madalali wa upigaji na mabeberu.
Suala la Abbas kutafsiri kauli ya Rais kuwa Magazeti sio vyombo vya habari imenisikitisha sana lakini Nimesikitika zaidi kuona RAIS. SAMIA SULUHU kaangukia kwenye mtego wa kuchukulia poa Viongozi kudharau na kubadilisha kauli zake jinsi wanavyotaka wao na yeye anaamua kufunika kombe kwa kufata mkumbo wa mtu aliebadilisha kauli zake.
Hakika ametuangusha mnoo kuamua kukubaliana na kauli ya Abbas na kwa hili napoteza Imani juu ya yeye kuamua na kutoa kauli za Amri kama Rais.
Kusema magazeti sio vyombo vya habari wakati nayo yalifungiwa kwa Sheria kandamizi inashangaza mnoo na hii ni kutaka kuaminisha watu Magazeti ni vyombo vya kupikia yani..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
RAIS asicheke na watu wanaotaka kumpima Nguvu na uwezo wake wakidhani sababu ni mwanamke bhasi watabadilisha kauli na maamuzi yake jinsi wanavyotaka.
View attachment 1746119
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app