Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

Furaha ya watanzania imezimika ghafla kwa sababu watanzania ni mbumbumbu ambazo huwa zinaamini kuwa haki zao ni mapenzi ya mtu,yaani hadi mwenye jukumu la kutoa haki hizo awe na mapenzi ya kuzitoa.Hawana habari kuwa haki huwa haitolewi bali huchukuliwa.Imagine majitu yanasubiri maneno matamu kutoka kwa Samia badala ya kuchukua haki zao kwa nguvu.

Wenye majukumu ya kutoa haki hizo hawawezi kutoa hizo haki kwa sababu siyo jambo jema kwao,imagine waachie magazeti yaliyofungiwa halafu yaanze kuwaandika vibaya.Hata kama wewe ndiye ungekuwa Rais ungefanya kitu kama hicho?Ndiyo maana haki huwa haitolewi bali huchukuliwa kwa nguvu kwa sababu mwenye jukumu la kutoa haki hizo akitoa hizo haki ataumia yeye.Concept rahisi kiasi hiki lakini majitu hayataki kuelewa!
 
we unanini cha kukusanywa mbwiga WEWE , yaani Rais hana akili kama wewe jiangalie wewe
 
Umekamatwa!
ukome kusifu usichokijua....
alafu nyie nimewaona koko sana....
badala ya kuimarisha chama chenu...mnasifia CCM !!???
Tulisema akifanya mazuri tunapongeza akiyakoroga tunaona ukweli
 
Nyumbu huwa hazijui!!??
kwamba watoa kauli wana verify kwa maza....
wasivyo na akili wanajua Abbas kajiropokea tu
 
Mtu wa hovyo kabisa
 
Chonde Chonde Mama Mataga watakuharibia
 
Kama wakati akitangaza msiba wa mwendazake alikosea akasema maombolezo ni siku 14 akaja kurekebisha baadaye kuwa ni 21 hata hili pia atakuja kuliweka sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…