Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tume haipaswi kuwa sehemu ya Serikali.Yupo sahihi kwa mujibu wa nafasi yake...
We kwani ulitaka asemeje?
Yeye ni Msemaji wa Serikali ya CCM, si msemaji wa Tume ambayo ilipaswa kuwa huru.Yupo sahihi kwa mujibu wa nafasi yake...
We kwani ulitaka asemeje?
Usiseme Lissu tu,YAANI LISSU TU NDIYO AFANYE UCHAGUSI SIWEPO?
Tazama tai aliyovaa ana pacha wake kule kwenye kibuyu chetu
Nyerere aliona miaka 100 mbele ila hawa wa sasa ni too myopicUsiseme Lissu tu,
Lissu ni taasisi, anaongea kwa niaba ya umma wa Watanzania wate wanaotaka mabadiliko, ambao kwa sasa ni wengi mno..
View: https://youtu.be/cJg8bwg2ZX8?si=KF0zLdJbNpppHbUC
Wanajisahau mno!
Huu ndio ushahidi kwamba hiyo tume ni huru Kwa Jina tu! Uhuni mwingine huuNdo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?
Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Yeah lets wait
Andamaneni kesho na mabango yenu ya "No Reform, N Election" tuone wingi wenu!Angejua tuko wengi sana tunaotaka mambo yawekwe sawa kabla ya uchaguzi. Mbona wanaogopa sana hawa jamaa. Hata wakiwa na Mtume wao mwamposa tutawapiga chini.
Jeuri yote hiyo anaipata kwa jeshi la polisi nje ya hapo wala hana jeuri ya kusema hivyo
Nakuhakikishia polisi wasipo ingilia kati na wananchi wakahakikishiwa usalama mafuriko yake huto yaaminiAndamaneni kesho na mabango yenu ya "No Reform, N Election" tuone wingi wenu!
Kwa maana hiyo Muhimbili kukitokea tukio, au Mahakama kuu kutokea tukio msemaji ni yeye Msigwa.Huyo ni msemaji wa serikali....
Ni wajibu wake kuisemea serikali...
Tume ya uchaguzi ni ya KIDOLA na kazi za kila siku za dola zinasimamiwa na serikali.....
Ndugu Msigwa yuko sahihi.....
Ahahahahaha! Kwahiyo hamtaandamana kwasababu Polisi wataingilia? Lakini Lissu hajasema hivyo.Nakuhakikishia polisi wasipo ingilia kati na wananchi wakahakikishiwa usalama mafuriko yake huto yaamini
U people, u'r lacking the willingness to grant civil liberties to your disliked groups.Ndo hapo sasa. Yaaani msemaji wa Serikali ndo anaisemea Tume ya Uchaguzi?
Ndo mana nawaelewa sana Chadema wanavyosema No Reform No Election. CCM wanawaona watanzania wajinga sana kwa kweli.
Tume haipaswi kuwa sehemu ya Serikali.
Hivi huko CCM mmejazana wajinga eeh?
Huyo ni msemaji wa Serikali. Yaani msemaji wa Serikali anaisemeaje Tume tena mnayoita Huru?
Pigia mstari.....Kwa maana hiyo Muhimbili kukitokea tukio, au Mahakama kuu kutokea tukio msemaji ni yeye Msigwa.