Tunadanganyana, hakuna mtaalamu wa Tanzania anaweza ku-reverse engineer akatuhakikishia usalama. India walishindwa wakaomba wapewe contents tu Ili watengeneze ya kwao. Sijui waliishia wapiWengi tumeshituka kusikia hii
Tunaishi katika nyakati za hatari sana, eti Msigwa ndiyo mshawishi wa serikali? Ukimtazama uso anaonekana wazi ni chumia tumboTunadanganyana,hakuna mtaalamu wa Tanzania anaweza ku-reverse engineer akatuhakikishia usalama...India walishindwa wakaomba wapewe contents tu Ili watengeneze ya kwao..Sijui waliishia wapi
Kwanza, ubora wa chanjo unapimwaje? Ni kwamba achanjwe mtu au mnyama (panya), halafu ukae siku, miezi, miaka - ndipo ujue hiyo chanjo inafaa. Sasa chanjo inaletwa, mara tu waganga kwenye zahanat zeu wameisha jua hii chanjo ni sawa sawa? Na sisi tuwaamini! Uongo mwingine bwana!Je, tuna Lab za kisasa kabisa za kupima ubora wa chanjo nchini.
umenishinda tabia1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo[emoji3581]
2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo [emoji3581]
SWALI KWA WATAALAMU
Kwanini upate chanjo?
Malaria mbona inadawa na bado watu wanakufa? issue ni kupunguza risk1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo[emoji3581]
2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo [emoji3581]
SWALI KWA WATAALAMU
Kwanini upate chanjo?
Jibu lipo. Madaktari wanajibu holo swali bila shida. Mi nimejibiwa.1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo[emoji3581]
2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo [emoji3581]
SWALI KWA WATAALAMU
Kwanini upate chanjo?
Wewe kachanjwe, yani kachanjwe hata machoni ukitaka.Ndiye aliyeleta shida ya watu kutokuamini taaluma badala yake wakimbilie nyungu .