Nauhakika hujasoma mpaka mwisho nilichokiandikaTote uliyoyafanya kabla ya Uislam yanasamehewa. Simpo.
Umesharudi kujisalimisha kwa Muumba wako?Wenye Jazba Mioyoni Kwao Huo Kila Kitu Jazba
anatafuta pesa, pambano la uarabuni ambalo huwa wanalipaga mipesa mingi kwelikweli. soon akishapata pesa atarudi kwenye imani ya kweli.Tote uliyoyafanya kabla ya Uislam yanasamehewa. Simpo.
Hapa aanaelzewa kwa kirefu mzungu ambae na alisilimu, tulia yakuingie labda utaiona nuru ya Allah.Una dawa zaidi ufia dini wako?
HAPO NI MOTONI TU*View attachment 2852055
Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi"
Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu.
Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini ya haki na kufuata njia iliyonyooka.
Pongezi nyingi kwake zimfikie.
Gervonta Davis ana rekodi ya kupambana mapambano 29, 27 ameshinda kwa K.O mawili ameshinda kwa Unanimous Decision (UD) hajawahi kupigwa Wala kutoa sare.
Ikumbukwe hata Devin Haney naye alibadili dini na ni muislamu safi sana na huwa anakwenda kuhiji mara kwa mara.
Devin Haney na Gervonta wapo kwenye mazungumzo huenda mwakani tukaona pambano lao.
Video hii hapa akitamka shahada.
View attachment 2852053
Muda wenu bado haujafika.Alibadili Mike Tyson, Jose Chameleone, Cassius Clay na leo tupo hapa
Taja mmoja ambaye ni maarufu aliyeuacha Uislamu.Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story ππ
Chai.anatafuta pesa, pambano la uarabuni ambalo huwa wanalipaga mipesa mingi kwelikweli. soon akishapata pesa atarudi kwenye imani ya kweli.
Kwa mada mezani inaonekana umeona labda huyo alikuwa Mkristo sasa ameamua ahame eti sababu Papa ameongea asichokipenda.Papa Francis kafanya ukristo uonekane kituko
Uislam mwema sana, Subhanna Allah wakiwa Waislam wanakuwa na imani ya juu, hata ule ukatili wa vboxing unawaondoka, tazama Muhammad Ali alipokuwa Muislam akipigana akimzidia sana opponent wake anamuokoa:Chai.
AJ, Daniel Dubois, Usyk, Bivol ,Otto Walin, Deontay Wilder, Joseph Parker wote hawa ni wakristo na wametoka kupigana siku 2 tu hapo nyuma hukohuko Saudi Arabia.
AJ amepigana Saudi mara mbili.
Jamaa viuno tu na rangi vilimchanganya,hakuna mtu anaehamia dini kisa mwanamke au mwanaume ukasema ameisoma akaielewa.Na Thomas Partey pia midifilder la timu yangu gunners amesillim hongera zao asee...
Alichapika hapo juzi na tripple d hadi hurumaJarrel Miller jina la utani anaitwa Big Baby.
yah alipoteza kwa k.oAlichapika hapo juzi na tripple d hadi huruma