Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Kabisa tena, hakuna dawa bora ya uchawi kama Uislam.

Tazama huyu bingwa wa bingwa kwenye boxing. alisilimu akamchakaza boxer mchungaji aliyekuwa anaogopewa na kila mtu:

 
View attachment 2852055

Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi"

Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu.

Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini ya haki na kufuata njia iliyonyooka.

Pongezi nyingi kwake zimfikie.

Gervonta Davis ana rekodi ya kupambana mapambano 29, 27 ameshinda kwa K.O mawili ameshinda kwa Unanimous Decision (UD) hajawahi kupigwa Wala kutoa sare.

Ikumbukwe hata Devin Haney naye alibadili dini na ni muislamu safi sana na huwa anakwenda kuhiji mara kwa mara.

Devin Haney na Gervonta wapo kwenye mazungumzo huenda mwakani tukaona pambano lao.

Video hii hapa akitamka shahada.

View attachment 2852053
HAPO NI MOTONI TU*
 
Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
 
Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
Taja mmoja ambaye ni maarufu aliyeuacha Uislamu.

Hao wa kwenu wamepangwa ili mzidi kupigwa pesa za sadaka
 
anatafuta pesa, pambano la uarabuni ambalo huwa wanalipaga mipesa mingi kwelikweli. soon akishapata pesa atarudi kwenye imani ya kweli.
Chai.

AJ, Daniel Dubois, Usyk, Bivol ,Otto Walin, Deontay Wilder, Joseph Parker wote hawa ni wakristo na wametoka kupigana siku 2 tu hapo nyuma hukohuko Saudi Arabia.

AJ amepigana Saudi mara mbili.
 
Papa Francis kafanya ukristo uonekane kituko
Kwa mada mezani inaonekana umeona labda huyo alikuwa Mkristo sasa ameamua ahame eti sababu Papa ameongea asichokipenda.

Hao watu ni majina tu yanakufanya uwaone walikuwa Wakristo hao huwa siyo Wakristo elewa hata wazazi wao huwa hawahangaiki kupelekesha watoto zao kwenye masuala ya imani.
 
Chai.

AJ, Daniel Dubois, Usyk, Bivol ,Otto Walin, Deontay Wilder, Joseph Parker wote hawa ni wakristo na wametoka kupigana siku 2 tu hapo nyuma hukohuko Saudi Arabia.

AJ amepigana Saudi mara mbili.
Uislam mwema sana, Subhanna Allah wakiwa Waislam wanakuwa na imani ya juu, hata ule ukatili wa vboxing unawaondoka, tazama Muhammad Ali alipokuwa Muislam akipigana akimzidia sana opponent wake anamuokoa:




Huo ndiyo Uislam.

Scars njoo katika Uislam tunakuokoa na moto wa jahannam. Muone scars mwenzako chini hapo.
 
Na Thomas Partey pia midifilder la timu yangu gunners amesillim hongera zao asee...
Jamaa viuno tu na rangi vilimchanganya,hakuna mtu anaehamia dini kisa mwanamke au mwanaume ukasema ameisoma akaielewa.

Mwanzo alijiita Yakub naona ameona jina halitoshi akarudia jina lake anataka atambulike kama mwanzo so hakijui alichofuata zaidi ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom