Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
Hawabadili hao wanakuwa hawana dini so ktk kuhangaika hangaika kwao wanakutana na watu wanawashawishi.

Na black Americans wengi ni wakorofi so wanapenda vile vitu vipo strictly,huwezi mwambia Mmarikan mweusi aged above 12 umwingize ktk Ukristo na habari za kupigwa shavu moja geuza na lingine yeye anataka aambiwe piga risasi ya kichwa na huko wanakoenda ndiyo kwenyewe.
 
hata Mike Tyson alibadili dini kuwa muisilamu, ila anamiliki mashamba ya bangi
 
Mtu kubadili Dini ni story? Kanisani kwetu kwa mwezi si chini ya Muslims 4-7 wanajoin Kanisani,na mpaka sasa wanadarasa lao si chini ya 20 wanafundishwa ukristo ni nini,huwa nawashangaa Muslims mtu akijoin kwao inakuwa big story 😀😀
Ushahidi.

Hizo porojo zako ni nzuri sana, lakini nikuulize, kuna anaesifiwa kutoka kwenye nuru kuingia kizani?
 
Hizo tattoo alizichora akiwa hayupo kwenye Uislamu.
Hata kama alichora akiwa kwenye uislam kwa kugharikia basi anayo nafasi ya kusamehewa na Allah sembuse alikuwa nje ya uislam?

(وَالَّذِينَ إِذَا فَعَلُوا فَاحِشَةً أَوْ ظَلَمُوا أَنْفُسَهُمْ ذَكَرُوا اللَّهَ فَاسْتَغْفَرُوا لِذُنُوبِهِمْ وَمَنْ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلَّا اللَّهُ وَلَمْ يُصِرُّوا عَلَىٰ مَا فَعَلُوا وَهُمْ يَعْلَمُونَ)
[Surat Aal-E-Imran 135]
 
Sio dhambi kabisa katika uislamu waumini kuwa na tattoo ni uchonganishi tu wawatu wasiopenda kuona wengine wanapendeza

"May Allah curse the women who do tattoos and those for whom tattoos are done, those who pluck their eyebrows and those who file their teeth for the purpose of beautification and alter the creation of Allah.” (Al-Bukhari, al-Libas, 5587; Muslim, al-Libas, 5538)
 
Uislamu unasema kitimoto ni haram
Nam kabisa imekatazwa na dini.
Lakini mtu mwenye tattoo anayetoka dini nyingine anakaribishwa vizuri kwenye uislamu.
nam kwa sababu tatoo sio kizuizi cha wewe usiwe muisilamu,unaweza ukaenda peponi na tatoo zako wakati huo wale ambao hawajajichora tatoo wakaenda motoni.
Na zile story za tattoo haram hutazisikia tena.
ukishaingia kwenye uisilamu kama mike tyson hauwezi kusikia ananadiwa kwenye media kwamba ameambiwa atatoo haramu,atafahamishwa na hao waliosmilimisha na wala haina ulazima kwamba awewe na mimi tujue.

Lakini pia atafundishwa taratibu baadhi ya sheria na kanuni za kiisilamu hivyo taratibu ataelewa kitu fulani kinafaa na kingine hakifai.
Uislamu unasema tattoo ni haram
Kabisa ni jambo limekatazwa na dini
Mnaruhusuje mtu haramu aje kuinajisi dini?
Kuchora tatoo hakukufanyi uwe haramu.

KATIKA UISILAMU HAKUNA MTU HARAMU kwamba eti kwa uharamu wake huo HARUHUSIWA KUINGIA KATIKA UISILAMU,HAKUNA MTU HUYO.

Awe shoga,awe msagaji,awe mzinzi,awe mwizi,awe muuwaji maadamu yupo hai basi anakaribishwa vizuri kwenye Dini.

Kwa sababu mtu yeyote akiingia kwenye Dini yeye ndo anafaidika na dini na wala sio Dini inafaidika na yeye.

Hivyo mtu kama shoga akiingia kwenye Dini faida ni yake na wala sio faida kwa uisilamu.

Muisilamu akifanya uovu kajichafua yeye hajachafua dini yake.

Dini ipo,ina misingi yake,hainajisiwi bali imetulia tu inasubiri wafu wa kuwaomgoza mkuu.
 
Daah asee noma nimeenda kumgoogle yupo hivyo mkuu.

Ni mualgelia na French

Hizi dini ni noma
Wapo wengi huyo ni mmoja katika maelfu

Ishu ni kwamba huwezi kuona wakijitangaza huko nchi za kiislamu kwasababu ya kuhofia uhai wao.

Ila muslims wa europe, America wengi wanafanya mambo yanayopingana na uislamu.

Ujinga wa waislam (sio wote) wanafurahi sana kuona mtu kutoka dini nyingine akisilimu licha ya matendo ya huyo mtu kupingana na miiko ya uislamu.

Wana sahau kwamba kuna watu wana convert kuufata uislamu kwasababu zao wanazoziona. Eidha maswala ya ndoa.

Sasa mtu aliye convert kuwa muislam kwasababu ya ndoa huwezi kumuwekea mipaka ya vyakula kwasababu yeye lengo lake sio dini ni mke na kaishapata.

Na ndio maana unaona bado wakina Mike Tyson wanauza bangi, wanavuta, wanachora tattoo, wanakula nguruwe nk.
 
Kitu kilichotajwa kuwa Haram, kitu hicho mtu akikifanya je atakuwa na access ya kwenda peponi?

Kama jibu ni ndiyo, kwanini kiitwe Haram wakati hakimzuii mtu kwenda peponi?

Na kama jibu ni hapana kwanini kipigwe marufuku wakati sio kigezo cha kumfanya mtu akose pepo?
 
Hao wanadhani wapo salama sana. Kuna hadi Ma-Imams wanaongoza misikiti na ni Mashoga.
Aljezeera, DW na BBC wana program za midahalo mikali ya kupigia kampeni ushoga ni huwa ipo Live.
Kule Amerika na Ulaya tayari Uislam ulishaanzwa kukeketwa kitambo tu na hata Waislam wa kule wameshalipokea hilo na wanaishi nalo. Hawa wa kule Mwembetogwa ndiyo wanaoshindana kupiga kelele ingawa wanasahau kwamba hata huko, maeneo yote yenye ngome za dini yao hilo swala wanaishi nalo ni kama azana tu kwa kifupi ni zaidi hata ya Ulaya.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kiufupi ni kwamba uislamu wa vitabuni una exist angalau kwenye mataifa ya kiislamu tu

Nayo hiyo inavhangiwa na adhabu kali ya kuchinjwa lakini kusingekuwa na vitisho vya mtu kuuwawa basi leo huko kungechafuka kuliko hata America
 
Kwanza nampa hongera kwa maamuzi yake na yanapaswa kuheshimiwa.
Kuna jambo moja unalopaswa kujua na ambalo naona watu wengi wanashindwa kulitofautisha kati ya dini hizi mbili.

Ukristo haupiganiwi wala hautetewi.ukimkuta mtu anagombana au kupigana kwa ajili ya ukristo basi jua kiwango chake cha imani au ufahamu wake wa mambo ya kiroho basi bado haujafikia level ya "utakaso."

Wakati yesu anakamatwa katika bustani ya Gethsemane,petro alichomoa upanga na akamkata moja ya askari aliyekuja kumkamata yesu.yesu alimkemea kwa kitendo kile akamwambia arudishe upanga wake kwenye ala na akamponya mtu aliyekuja kumkamata na akamuuliza je anadhani mungu hana majeshi ya kutuma kwa ajili yake mpaka yeye petro ampiganie?.petro alifanya vile kwa kuwa alikuwa bado kutakaswa na alipotakaswa hakuwahi hata kurusha neno la vita akiupigania ukristo.

Hii ndiyo tofauti ya ukristo na uislamu. Wakristo wanaamini mungu mwenyewe anaupigania ukristo ila waislamu wanaupigania uislamu kwa maneno na vitendo na hili halipaswi kupingwa wala kubezwa maana ndio misingi ya hizo imani.
 
Kiufupi ni kwamba uislamu wa vitabuni una exist angalau kwenye mataifa ya kiislamu tu

Nayo hiyo inavhangiwa na adhabu kali ya kuchinjwa lakini kusingekuwa na vitisho vya mtu kuuwawa basi leo huko kungechafuka kuliko hata America
Very true!!
Ndiyo maana waarabu wanaongoza hivi sasa kuhamia Ulaya na Marekani na wanachokikimbia ni uislamu, wakifika Ulaya na Marekani wanakutana na Uislam uliokeketwa.
Halafu ikifika mwezi wa Ramadhani wanatembelea nchi zao za asili kwa ajili ya kufanya utalii wa mfungo wa Ramadhani kwa wiki mbili za mwisho, na kula sikukuu.
Sasa hivi huko Ulaya wameshakubali Maimamu wao kuwa mashoga na Masela wanaingia kupiga swala kama kawa...na wao waislamu wa ulaya na Marekani wamegeuka kuwa Wakristo wa Tanzania...wazee wa Mungu anaangalia ya Moyoni😁
 
Tote uliyoyafanya kabla ya Uislam yanasamehewa. Simpo.
Hawa hapa ni baadhi tu ya Maimamu ambao ni Mashoga;

Ludovic-Mohamed Zahed
Daayiee Abdullah
Nur Warsame

Kahina Bahloul (Huyu hapa chini ni Imaam wa kike)


Unaijua Toronto Unity Mosque?

A mosque in Toronto is creating a name for itself for welcoming the LGBT community, as well as to people of all faiths. Founder El-Farouk Khaki said it was important for him and his co-founders to create the Unity Mosque, or the El-Tawhid Juma Circle, as a space that is welcoming to anyone
 
Hakuna muislamu wa Ulaya anatamani kuishi Saudia.

Yani umchukue Dj Khalid umpeleke Saudia unafikiri huko kutakuwa na tafsiri gani tofauti na jela?

Na ndio maana hata wale migrants waliozamia Europe wakitokea Syria na Iran waligoma kurudi kwao hata baada ya machafuko kuisha.

Walikuja kugundua kumbe kuna maisha ambayo binadamu anakuwa na uhuru kiasi hiki.

Hao waislamu wakiwa huko Europe kila kitu wame adapt kwa western culture utasikia wanasema Free Palestina lakini wao wenyewe hawataki kabisa kwenda makwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…