Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Sasa nikuulize Saudi Arabia na Iran wote waislam kwa nini hawafungamani si waislam wote kwa nini hawapikiki chungu kimoja...na kusisitiza imani ya dini ya kiislam inajitegemea..wala hakuna maelekezo kwmb hizo ndo zitaongoza uislamu
Mjadala imehitimishia hapa,anaye elewa na aelewe,hongera Sana.
 
Sasa nikuulize Saudi Arabia na Iran wote waislam kwa nini hawafungamani si waislam wote kwa nini hawapikiki chungu kimoja...na kusisitiza imani ya dini ya kiislam inajitegemea..wala hakuna maelekezo kwmb hizo ndo zitaongoza uislamu
Hao wana hitirafiana sababu ya madhehebu, kila mmoja ikitaka dhehebu lake ndiyo liwe vocal over others
 
Mwenyezi Mungu akujaalie uione nuru yake kwa sababu yoyote ile, iwe ya kuoa hata wanne si mmoja tu, ni nguvu zako tu.
Kama uislamu ndo kuwa na roho mbaya kama huyu bibi faiza bora tu nibakie humu nilpo
 
Sheria za nchi wanapata wapi sheria za kuua mtu? Nchi zote za kiislam sheria ya mtu kubadili dini kutoka kwenye uislam adhabu yake ni death penalty
 
Nakuongezea na Sneako wa huko huko USA

View: https://www.youtube.com/live/FgyBXLjZCkQ?si=LwcHaNrpIWHlW-LJ

Laiti wangemjua huyo wanayemuendea ni huyu wa kwenye hii hadithi sijui kama wangebaki huko
 
Jambo jema
 
Umesema kweli mkuu. Waislamu wataua mtu in allah name. Rip joshua mollel
 
Dini ya haki ya allahu akbaru ina imamu wa kike? Daah. Wavaa kobazi tunafeli wapi
 
Ndio utakapo shangaa dini iliyo baadae kabisa tena kwa kuchelewa na ikichukua karibu kila kitu kutoka kwenye dini mama eti Leo inajiita ndio dini ya mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni Sawa na mtoto kujiona yeye NI WA maana kuliko Baba yake.
 
Ustaadh dj khalid anavuta bangi kweri kweri
 
Dini ya haki ya allahu akbaru ina imamu wa kike? Daah. Wavaa kobazi tunafeli wapi
Naam, anaitwa Imama na anaweza kuwasalisha wanawake wenzake ana watoto ambahawaja balehe., kila Muislam ni Imam.

Uislam ni mwema sana, umeshawahi kuisoma Qur'an au unafata mihemko tu ya watu wenye chuki za kijinga tu?
 
Ulipoanza kuchanganya viingereza (kikristo) nikajua na wewe una American dream.
 
Hao wana hitirafiana sababu ya madhehebu, kila mmoja ikitaka dhehebu lake ndiyo liwe vocal over others
Hapo ndo wagalatia wanaposhndwa kutofautisha kiimani kiitikadi kisiasa ipo tofauti kubwa kati ya Iran na Saudi..kwnz muiran ni Muhindi sio mwarabu..Mfano juzi
Sheria za nchi wanapata wapi sheria za kuua mtu? Nchi zote za kiislam sheria ya mtu kubadili dini kutoka kwenye uislam adhabu yake ni death penalty
Hakuna nchi iliyozuiliwa kuweka sheria kifo kutegemea na madhumuni yake..hakuna nchi inayoingiliwa mfano China Fisadi hukumu yake kifo..ila Saudia hakuna nchi zingine ukikamatwa na madawa kifo..Tanzania wenyewe sheria ya kifo ipo ingawa haitekelezwi..hivo Saudia imewawekea wana nchi wake sheria kifo ukibadili dini...sasa tuje kwny misingi ya dini ya kiislam ndo inavyotaka ivoo?..lah hasha..utakua umeelewa kutofautisha imani ya dini na sheria za nchi
 
Ina faida gani kwetu??
 
Msingewaacha kwasababu waislamu mnapendaga kutumia nguvu bila akili. Bila aibu umedhihirisha hilo hapa
 
Hapo ndo wagalatia wanaposhndwa kutofautisha kiimani kiitikadi kisiasa ipo tofauti kubwa kati ya Iran na Saudi..kwnz muiran ni Muhindi sio mwarabu..Mfano juzi
Mnakua na uelewa finyu sana, wapi ambapo nimesema Iran ni Mwarabu? Anyway, nimekujibu kwa kuwa umeni quote, ila wewe nadhani ulikua unamlenga Mgalatia wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…