Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

We tafuta ugali wako,
Devonta anakuhusu nini awe mwuislamu ,mkristo au pagan we inakufaidisha nini?
Mna ujinga mwingi Sana
Hakuna mtu asiyetafuta ridhiki Tank ni celebrity chcht atakachofanya ni habari..kitendo cha kusilimu kagusa imani za watu...
 
Huu mfano wa nguruwe ndo umekua mfano muhimu sanaa kwa wakristo sababu mnaona huko wakila nguruwe lkn muislam kakatazwa asipige ramli wala kuzini wala kunywa pombe...lkn vyote unafanya uislam umeweka wazi hukumu zake vyote hivo nimekutajia kutokusali sala 5 hukmu zake zipo...sasa mtu anajua hukmu yake nini ila kaamua kufanya huo sio mtindo wake wa maisha?..hii ndo inapelekea mashekhe na waumini kuwakumbusha waumini waenzao pamoja na vitabu vinaandikwa tusome tuone madhara yake..Waislam tunakazwa kupiga ramli ina madhara mengi tuu lkn mwenyezimungu kakazia kupiga ramli ni kumpinga..sasa nani mwenye hukumu mbaya aliyepiga ramli au aliyekula nguruwe?..Nguruwe ni kiumbe tuu mwenyezimungu kakiumba kinakosa sifa muislamu kukila sababu hana kwato hacheui..muislamu kaamua kula kama alivyo mbwa au kiboko utatoka vipi ktk uislam?
Bahati mbaya mi sio mkristo
 
Kwani dini sio sehemu ya maisha?
Dini ni mfumo wa maisha ambao unajieleza..mfano hao waarabu ni waislam na wanaishi kiimani na kimila zao waarabu na usisahau ni binadamu na binadamu tumeumbwa na matamanio.Sasa hao ni wanyabiashara wakubwa wana muingiliano mkubwa sana na wazungu kibiashara mathani wazungu wakienda Arabuni wanapewa mashatri ya kuwekeza pale tamaduni na desturi zake..hivo hivo na waarabu wakienda kuinvest Europe wanapewa masharti.Mfano PSG wana jumuia kabisaa ya LGBT yule mwarabu anajua lkn lengo yeye ni biashara na wenye kuutangaza ushoga ni wafaransa wenyewe hakuna anacho athirika ili mradi lengo lake likamilike..mfano PSG wanatangaza sanaa mwezi mtukufu wa Ramadhan na Idd Fitri..Sasa hapo ndo unapata kisa cha Gana Gueye msenegali akagoma kuutangaza ushoga akafukuzwa watu wengi walimuunga mkono waafrika na wazungu..lkn sera za klabu zinaunga mkono ushoga kitambo ilhali mwarabu ambaye muislamu kawekeza hapo kipo cha kujifunza kwmb imani ya dini haimtegemei mtu bali mtu mwnyw unaamini kipi ni sahihi.Uarabu si uislam bali Quran imeshushwa kwa lugha ya kiarabu...kama hichi kiswahili tunacho ongea na kukiandika asilimia 95 ni kiarabu..lkn kila mmoja na imani yake..hata waarabu wengi tuu wakristo hasa hasa wapo Iraq,Lebanon,Egypt,Syria..tofauti na nchi Ghuba ya uajemi ambako asilimia kubwa ni waislam
 
Kwa case ya yule imam shoga bado sijajua alikuwa ni shoga wa kuoa au kuolewa ili awe amekidhi kigezo cha dini

Ishu ya uganga na masheikh sijui unaitenganishaje yani hapo ni sawa na kumtenganisha Shaolin na kung fu.

Unaposema ushoga ni mtindo wa maisha kwani Mkuu dini sio mtindo wa maisha?
Hata kama kaoa lkn anaingiliwa hawezi kuwa Imam hata kama angekua mzinifu pia asingekizi masharti ya kuwa Imam..Hao mashekhe waganga kama nilivyokuambia watabaki kuwa mashekhe wanaojua Quran..lkn hawawezi pia kuwa Imam wa msikiti kwa muktadha ule ule wanapiga ramli iliyokatazwa na Allah..Allah anaitafisri ramli ni fitna..kazi za Imam ni kijamii na mfumo mzima wa maisha mfano kusimamisha sala kuzika kuozesha,kutatua na kushauri vile vile kuwalingania waumini mshikamano na mafungamano ya dini...Asa ukiwa mzinifu utaweza kusuluhisha ndoa ya mtu hujaoa utafungsha vipi ndoa..shoga utawapa umoja vipi waumini wenzio...
 
Ushahidi.

Hizo porojo zako ni nzuri sana, lakini nikuulize, kuna anaesifiwa kutoka kwenye nuru kuingia kizani?
Hata ww hizi ni hadithi za abunuasi tu,kwamba Kwa uislam ndiyo nuru? Bila shaka umekurupuka kujibu kwasababu akili haifanyi kazi mtu akitaja tu uislam......hoja ni kwanini mnafanya big story mtu kubadilisha Dini wakati ni jambo la kawaida?
 
Dini ni mfumo wa maisha ambao unajieleza..mfano hao waarabu ni waislam na wanaishi kiimani na kimila zao waarabu na usisahau ni binadamu na binadamu tumeumbwa na matamanio.Sasa hao ni wanyabiashara wakubwa wana muingiliano mkubwa sana na wazungu kibiashara mathani wazungu wakienda Arabuni wanapewa mashatri ya kuwekeza pale tamaduni na desturi zake..hivo hivo na waarabu wakienda kuinvest Europe wanapewa masharti.Mfano PSG wana jumuia kabisaa ya LGBT yule mwarabu anajua lkn lengo yeye ni biashara na wenye kuutangaza ushoga ni wafaransa wenyewe hakuna anacho athirika ili mradi lengo lake likamilike..mfano PSG wanatangaza sanaa mwezi mtukufu wa Ramadhan na Idd Fitri..Sasa hapo ndo unapata kisa cha Gana Gueye msenegali akagoma kuutangaza ushoga akafukuzwa watu wengi walimuunga mkono waafrika na wazungu..lkn sera za klabu zinaunga mkono ushoga kitambo ilhali mwarabu ambaye muislamu kawekeza hapo kipo cha kujifunza kwmb imani ya dini haimtegemei mtu bali mtu mwnyw unaamini kipi ni sahihi.Uarabu si uislam bali Quran imeshushwa kwa lugha ya kiarabu...kama hichi kiswahili tunacho ongea na kukiandika asilimia 95 ni kiarabu..lkn kila mmoja na imani yake..hata waarabu wengi tuu wakristo hasa hasa wapo Iraq,Lebanon,Egypt,Syria..tofauti na nchi Ghuba ya uajemi ambako asilimia kubwa ni waislam
Sasa kama dini ni mfumo wa maisha kwanini watu wakifanya jambo upinge kwa kusema hilo jambo ni mtindo wa maisha na sio dini?
 
Hata kama kaoa lkn anaingiliwa hawezi kuwa Imam hata kama angekua mzinifu pia asingekizi masharti ya kuwa Imam..Hao mashekhe waganga kama nilivyokuambia watabaki kuwa mashekhe wanaojua Quran..lkn hawawezi pia kuwa Imam wa msikiti kwa muktadha ule ule wanapiga ramli iliyokatazwa na Allah..Allah anaitafisri ramli ni fitna..kazi za Imam ni kijamii na mfumo mzima wa maisha mfano kusimamisha sala kuzika kuozesha,kutatua na kushauri vile vile kuwalingania waumini mshikamano na mafungamano ya dini...Asa ukiwa mzinifu utaweza kusuluhisha ndoa ya mtu hujaoa utafungsha vipi ndoa..shoga utawapa umoja vipi waumini wenzio...
Kwani kila shoga anaingiliwa?
 
Sawa sio mbaya ungeanza kujisomea na kudadisi hizi imani zimekaa vipi mda unao..karibu sana
Kujisomea sidhani kama ni kitu cha msingi.

Kwasababu hata wewe haujausoma ubudha ili uwe muislamu

Umekuwa muislamu kwasababu ya kurithishwa, haujawa muislamu kwa kufanya survey ya kusoma dini zote na kuona uislamu ndio dini ya kweli.

Mimi nataka kuukubali uislamu kwa kupewa uthibitisho wa uwepo wa Allah.

Unaweza kufanya hivyo?
 
Kwnz uislam unapinga mnavyo mdhihaki Yesu ndo mana'ke tunaupinga wazi wazi ukristo...Mfano wa kumdhalilisha na kumdhihaki Yesu ni kumchongea na kumchora picha huku ni kumdhihaki Yesu..je nikuulize swali una uhakika yule ni Yesu..waislam tunapinga vitu ambavyo Yesu hayakua mafundisho yake..kwa haya mnayo yafanya
Swali langu moja tu. Kwanini hampendagi kufuata mambo yenu? Kutwa kucha kuwazungumzia Christians? Mara utaskia Christmas ni harafu and all that. Si mjikite tu kwenye uislamu mnyamaze.

TUKISEMA WAISALMU MNAPENDA KUSHOBOKA UTABISHA?
 
Hawa hapa ni baadhi tu ya Maimamu ambao ni Mashoga;

Ludovic-Mohamed Zahed
Daayiee Abdullah
Nur Warsame

Kahina Bahloul (Huyu hapa chini ni Imaam wa kike)
View attachment 2852510

Unaijua Toronto Unity Mosque?

A mosque in Toronto is creating a name for itself for welcoming the LGBT community, as well as to people of all faiths. Founder El-Farouk Khaki said it was important for him and his co-founders to create the Unity Mosque, or the El-Tawhid Juma Circle, as a space that is welcoming to anyone
Chai
Mwanamke haruhusiwi kuswalisha
 
Kitu kilichotajwa kuwa Haram, kitu hicho mtu akikifanya je atakuwa na access ya kwenda peponi?
Naam mkuu atakuwa na access ya kwenda peponi sio kwa sababu ya kitu hicho cha haramu alichofanya bali ni kwa sababu ya Mema mengine mengi aliyoyatenda kuliko ile haramu yake.
Mema yanapokuwa Mengi kuliko mabaya hiyo ni accèss tosha ya kuiona peop ya Mungu.

Kama jibu ni ndiyo, kwanini kiitwe Haram wakati hakimzuii mtu kwenda peponi?
Kinachompeleka mtu peponi sio yale ya haramu machache aliyoyafanya,bali kinachompeleka mtu peponi ni yale ya halali mengi aliyoyafanya.

Hivyo ukimkuta diamond peponi mtu anaweza shangaa kwamba diamond kapelekwa peponi kwa sababu ya ule mziki wake ? No kapelekwa peponi kwa sababu kuna mema mengi aliyafanya kushinda mabaya yake.

WATAKAOINGIA PEPONI SIO WALE AMBAO HAWAFANYI DHAMBI KABISA,BALI NI WALE AMBAO MEMA YAO NI MENGI KULIKO MABAYA.

ni kama shuleni tu ukipata above 50 wewe umefauli haijalishi kuna makosa mnagapi lakini ulizopata ni nyingi.
kama jibu ni hapana kwanini kipigwe marufuku wakati sio kigezo cha kumfanya mtu akose pepo?
Kinapigwa marufuku kwa sababu hiko kimoja kikichanganyika na kingine na kingine ndio kinajaza mfuko wa maovu unakuwa mkubwa kuliko mema.

COncept yetu ni ile kwamba kitakachompeleka peponi ni yale mema yake yawe mengi.
 
Back
Top Bottom