safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
MKuu katika uisilamu watu wamepewa jukumu la kufikisha mazuri na sio jukumu la kulazimisha watu kufanya yale mazuri.Kwahiyo taratibu alizofundishwa Mike Tyson ndo kulima bangi??
SO huwenda aliambiwa jambo hilo kama halifai lakini kama aliamua kuendelea hauwezi kumlazimisha.
Jukumu la mja ni kufikisha ujumbe tu,hayo mambo mengine ni uamuzi wa mtu afuate ama aache.
lakini pia binafsi sijaona uharamu wa kulima bangi kwenye uisilamu kulima bangi kama mmea sijaona uharamu huo.
ñi kama ngano wanavyosema inatumika kutengeneza pombe je ndio iwe haramu kulima ngano ?
So ishu ya bangi mmea nadhani inabaki kuwa ya mamlaka ya nchi husika zaidi kama wanaruhusu ama laa.