Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!


Philosophically, I am a capitalist. So I will speak from that point view.

Tuanze diamond. Unajua haina functional value yoyote. Huwezi kutumia diamond kutengeneza machine kwa kutumia diamond. Hata machine ndogo kama jembe la mkono halitumii diamond. Unaweza kuiondoa diamond yote iliyopo duniani kwenye circulation na bado ubora wa maisha ukabaki palepale. The same applies to Tanzanite and to some extent gold. Thamani inakuja ni kwenye rarity ya madini haya. Unatumia energy nyingi kuchimba almasi na dhahabu. Chukua mfano huu. Tukikusanya dhahabu zote zilizowahi kuchimbwa au extracted duniani, hatutajaza two Olympic swimming pools. Hivyo De Bears wanapo-control Diamonds, wanaongeza mystics ya diamond na kuongeza bei yake (supply and demand)....Hivyo kama De Bears or Petra wanafanya vitu vyao ku-maximize profits, it's better join them. It is a cartel like OPEC.

Tukurudi kwenye gas, it isn't rare. Umuhimu wake hupo kwenye utilization. You extract gas to generate power, to produce fertilizer or plastic products and so forth. Hivyo kuna endless possibilities ukiwa na gas. Hivyo umilikaji wa kisima cha gas sio mwisho wa mchezo. Hivyo mwekezaji anaweza kumiliki 100% ya kisima, lakini kama imejipanga bado faida ni nyingi sana. Hivyo suala la kuwa tunamiliki 0% or 16% sio kubwa sana. Suala ni kuwa gas inayozalishwa ndani na kuongeza energy security. Hivyo ukiangalia multiplier effect ya gas, nipo tayari kumpa mwekezaji 100% ownership. Toka tumepata uhuru serikali haikufanya investment yoyote, gas imeanza kuchimbwa unaona vitu vinaanza kutokea.

Ownership is very tempting....Kwa nchi masikini kama Tanzania, fikra zetu ni kuwa government ownership increases government coffers na matokeo yake serikali itatua matatizo ya wananchi kama kununua ndege kwa kutumia cash, kujenga mashule, hospitali etc etc... Ukweli wa mambo huo sio uchumi. Serikali inaweza isitegemee ownership lakini tax revenues ikafanya kazi vizuri sana. Na mara nyingi nchi yenye robust tax base ina uchumi mzuri kuliko hile inayotegemea mapato yanayotoka na umiliki wa njia za uzalishaji. nuff said.
 
Mkuu August , kwanza, thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups ambao 9 years ago, tulioshinikiza mradi huu uchelewe, ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.

P
 
Mtu mwenyewe unayetaka kumuua ni kikwet?
 
Mtu mwenyewe unayetaka kumuua ni kikwet?
Kikwete meno yote 32 nje kwa furaha baada ya kiboko yake kwendazake. Lakini akumbuke 2025 zaidi ya JPM ataingia kupitia upinzani na hapo tutamsikia keko, asipokuwa makini
 
watu wanadhani mwekezaji anatakiwa kusambaza mabomba ya gesi kila nyumba free of charge....

ha ha ha,ila mi nashauri pawepo machimbo ya wachimbaji wadogowadogo wa gesi ili vijana wetu wajiajiri.......
Tofautisha ajira na utumwa
 
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.

P
 
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.

P
Mkuu,, nilimsikia mkurugenzi wa TPDC akiongea TBC akiwa na ayubu Ryoba kwamba gas inayozalishwa sasa sio ya TPDC, ni ya makampuni mengine ndio yanaimiliki, tpdc hana kisima hata kimoja anachokimiliki waala kuchimba.

Yeye TPDC ndio amepewa hela na serikali kama Bilioni 200 ili achimbe visima vyake 2 pale Mnaz Bay ili angalau awe anaiuzia Tanesco kwa bei rahisi ili kushusha gharama za umeme. Kwa sasa TPDC ananunua gesi kisha na yeye anaiuzia tanesco, kwa hiyo umeme wa gesi Tanzania ni bei ghali sana, inawezekana tanesco wanazalisha unit moja ya umeme kwa zaidi ya tsh 400 kama vile mafuta.

ILe gesi iliyoko mtwara sio yetu, sio ya Watanzania, ilishauzwa siku nyingi. Watanzania yunachomiliki pale ni ardhi tu ila kilichomo chini ya ardhi sio mali yetu, ilishauzwa miaka mingi. Hili aliwahi kulisema Magufuli hadharani na pia alilisema mkuu wa tpdc.

Kwa msingi huo unaweza kuona wanaopigia kelele gesi sio kwamba wanataka watanzania tuvune rasilimali zetu na kuzitumia, hapana, wanapigia debe mabwana zao wenye visima vya gesi na wanaochimba gesi ili waendelee kufaidika.
 
Dah,inauma sana hii

Nakumbuka kweli magufulu aliwahi lizungumizia hili swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…